Nimepoteza leseni ya udereva

Nimepoteza leseni ya udereva

Abby Senior

Senior Member
Joined
Feb 14, 2015
Posts
154
Reaction score
60
Wanajamvi habari zenu?
Naomba kuleta kwenu taarifa hii ya kupotelewa na leseni yangu ya udereva namba 4000549027.
Ninaomba mdau yeyote kama ataiona mahali anipigie namba 0679663661 ili anisaidie niipate leseni hiyo.
Natanguliza shukrani zangu.
 
Nipo Nanjilinji, nikiiona ntakushtua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom