Nimepoteza hamu ya kushiriki tendo

Nimepoteza hamu ya kushiriki tendo

varency

Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
15
Reaction score
20
Naomba msaada wanazengo nimepoteza hamu ya kushiriki tendo ghafla yani demu wangu anakuja geto mara 4 mfululizo lakini sina hamu kabisa yani ananifanyia kila kitu michezo yote yani mautundu yote yaani lakini chuma inagoma kusimama nini shida ndugu zangu...?

20220401_211733.jpg
 
Kunywa sana juisi za Azam zile za embe za 600.

Hatari sana zile
 
Naomba msaada wanazengo nimepoteza hamu ya kushiriki tendo ghafla yani demu wangu anakuja geto mala 4 mfululizo lakin sina hamu kabisa yani anan fanyia kila kitu michezo yote yani mautundu uote yani lakini chuma inagoma kusimama nini shida ndugu zangu...?View attachment 2217867
Oa kwanza halafu uje huku tukufundishe nini cha kufanya...
 
Make enough exercise mkuu nothing else.
 
Demu ukishamcheba Mara kadhaa hamu nae unakua huna tena hata upendo unaanza kupungua, we tulia siku ukiwa na kipururu ndo umuite usuuze rungu ye akitaka mkatae
 
Dah ... Ishu kama hii ndo uje Utuwekee kwenye Jukwaa la Sports kweli..?

Nenda Jukwaa la Afya wapo wajuzi watakusaidia...mbona hilo la kutosimama ni dogo kuna wengine wameshtaki imepotelea tumboni...!
 
Aisee pole sana hiyo kitu inanyima raha sana Ila punguza mawazo,uraibu fulani Kama kamari,pombe na

Punguza kumpania huyo demu wako na pia penda kumchezea wewe kuliko yeye... unajua nini

Demu akiwa anakushikashika Zakari Mara kwa Mara Haina tofauti na punyeto
 
Tangawizi, tikiti, kitunguu swaumu na ndizi mbivu. Mchezo umeisha.. hivyo viwe kwenye Milo yako kila siku ...otherwise kama una tatizo lingine la kiafya
 
Back
Top Bottom