Nimepoteza hamu kabisa

Nimepoteza hamu kabisa

Tangia mwanaume wangu anisumbue! Kwa sasa sina hamu kabisa ya kuwa na mwanaume mwengine!....

Ata nitongozwe vipi stimu hazipandi

Sijui nifanyaje!
embu toa ufafanuzi..

hamu ya nini?? TENDO au HAMU ya kuwa na BF?
 
Usijali mbona ni simple tu ebu nipatie namba yako ya simu kwanza
 
Tangia mwanaume wangu anisumbue! Kwa sasa sina hamu kabisa ya kuwa na mwanaume mwengine!....

Ata nitongozwe vipi stimu hazipandi

Sijui nifanyaje!
Kwanza naomba kujua unzhawai kutombwa ukakojoa
 
Tangia mwanaume wangu anisumbue! Kwa sasa sina hamu kabisa ya kuwa na mwanaume mwengine!....

Ata nitongozwe vipi stimu hazipandi

Sijui nifanyaje!
Jipe mudah. Pumzisha moyo na akili. Haya mambo hurud automatic na si kwa kulazimishwa
 
Tangia mwanaume wangu anisumbue! Kwa sasa sina hamu kabisa ya kuwa na mwanaume mwengine!....

Ata nitongozwe vipi stimu hazipandi

Sijui nifanyaje!

Pole sana Babrabae, lakini usikate tamaa uwezekano wa kurudi hali ya kawaida upo.
Zipo sababu kadhaa zinazoweza kufanya mwanamke apoteza hamu na kutokana na maelezo yako inaelekea unahusika.
Ingawa si rahisi ku-pinpoint kiini cha tatizo lako bila kuwa na taarifa kamili lakini kwa makisio ya haraka nakisia kuwa hiyo hali inasababishwa na kutenguka kwa balance ya hormones mwilini.
Hormone za astrogen ambayo ndio zinatawala kuwepo na nguvu za kike zimepungua hiyo basi kusababisha inbalance katika endocrine system.
Kama makisio yangu ni rahisi basi utaona hata period zako zitakuwa na matatizo
Moja ya sababu nyingi ya hormonal inbalance ni stress. Pia zipo na nyingine k.m umri (over 45) au kunywa au kula kwa kutumia vyombo vya plastik laini ziliyopata joto k.m maji kutoka chupa za plastik zilizoachwa juani n.k au hata kuwa na upungufu wa iodine mwilini
Nini la kufanya: Itabidi ujitibu kurejesha upya balance ya endocrine system ndio utapona na utaona kila kitu inarudi upya kama ilivyokuwa zamani
 
Tangia mwanaume wangu anisumbue! Kwa sasa sina hamu kabisa ya kuwa na mwanaume mwengine!....

Ata nitongozwe vipi stimu hazipandi

Sijui nifanyaje!
Cku ukkutana na htajio la moyo wako hyo hal itaisha.
 
Tangia mwanaume wangu anisumbue! Kwa sasa sina hamu kabisa ya kuwa na mwanaume mwengine!....

Ata nitongozwe vipi stimu hazipandi

Sijui nifanyaje!
Mkuu lipia tangazo Lako....
 
Tangia mwanaume wangu anisumbue! Kwa sasa sina hamu kabisa ya kuwa na mwanaume mwengine!....

Ata nitongozwe vipi stimu hazipandi

Sijui nifanyaje!
Kwakua kila jambo na wakati wake, Wala usihisi kupungukiwa na kitu wala usifanye haraka kwakua tu unataka Kuponywa .

Je mwanamme wako alikusumbua nann??alikusaliti???au kipi???.

Kamwe usiache wapenda Ngono wakaitumia hiyo fursa kukushinda wee na kupoza tamaa za miili yao.

Utajikuta mwili umeuozesha bure kwa sababu tu ulilazimisha kutafuta Stimu

humu kuna walojifia kitambooooo wamo nao kuongeza idadi tu.
 
Me nitakufanya hamu irudi njo kwangu hutaumia.
 
Back
Top Bottom