Mkuu inawezekana badala ya kuzima moto nitakuwa nauwashaHuyo M****a atakusumbua sana, muhadithie tu mkeo anaweza kukupa mbinu ya kuepukana nae
nimeshajipanga nina hakikaNa bado utakapo kata mawasiliano ya kwenda subiri timbwili lake la mahitaji ya mtoto utajuta kumfaham chezea mchepuko wa uswaz ww
Sent using Jamii Forums mobile app