Nimeponea chupuchupu kuuawa kwa mchepuko

Nimeponea chupuchupu kuuawa kwa mchepuko

Mm kila mara huwaambia wanaume wenzangu, kuweni makini sana kujua nani wa kumuachia mbegu zako, sio kila mwanamke ni wa kuzaa nae...mbegu yako ni ya thamani sana. Bora utumie gharama kubwa kufanya safe abortion kuliko kumuachia mbegu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baki njia kuu kaka, mchepuko ni hatari kwa maisha yako.
 
Baki njia kuu kaka, mchepuko ni hatari kwa maisha yako.
 
Ndio wewe uliyeacha pikipiki kwa Mzee Abdalah hapa. Duh pole na uliendahe polisi na ile suruali.?!
 
Unamajanga mara mkeo mlevi mara ameridi bila nguo leo kwa mchepuko??
 
Aseee...tulia njia kuu mkuu,mimi mwenzio naona ubahili sana kuhudumia mwanamke wa nje aisee....wanafilisi na kuchelewesha maendeleo sana hao,Acha kupoteza muda nao,komaa na maisha tu.
Kama mie tu,bora upige mara moko no more,haya mambo ya kutua mabegi ya wahenga haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kwa taarifa jamaa yangu, life has alot to teach us!!!
 
Back
Top Bottom