Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Mkuu juzi nimeona umemwambia mtu kuhusu matibabu ya kitunguu Swaumu dhidi ya malaria sugu kwakweli nimeitumia na siku ya pili leo naona niko fiti sana.Cha ajabu na uume wangu leo usiku mzima ulikuwa umesimama mpaka nikaona kero na ikabidi nichukue maji baridi sana kwenye jokofu na kuimwagia ndipo nikapata nafuu na kulala usingizi,vipi na huko inaimarisha nini??