alumn
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 2,370
- 3,165
Sikia bibie kama imetokea kwa mara ya kwanza potezea tu umpime uone ikijitokeza tena mpotezee, tambua miruzi ming hupoteza, huwez jua pengne huyo dada aliepokea ameongea kwa mantiki ya kukukomesha tu ujisikie hali flan vibaya na asiwe na uhusiano wowote na huyo mpendwa wako ama pia inawezekana wakawa na uhusiano sasa kua mwingi wa subra, usikurupuke juu ya uamuz wowote, muda haudanganyi utakuja kujua nini kinaendelea uwe na subraa