Nimepokonywa mapenzi. Inaumaaaa

Nimepokonywa mapenzi. Inaumaaaa

Haya mambo haya, kuna siku nilikuwa sehemu jamaa mmoja alikuwa na dada yake wanakula kitimoto akapigiwa simu na demu wake lakini ikaonyesha hampendi huyo demu. Alichofanya alimwelekeza dada yake apokee hiyo simu ajifanye ni mchumba ake, dada mtu akafanya hivyo akamfokea dada wa watu asimfatilie tena mchumba ake mpiga simu akaomba samahani tu.
Holi nalo lawezekana
 
Asaante ila inauma kweli nimetoka nae mbali nimeshare nae mambo yangu binafsi mengi sana nilimuamini sana. Mda mwingine najiuliza pengine alikua anatafuta njia ya kuachana na mimi akaona mi king'ang'anizi. Akaamua kunionyesha kabisa kwamba bwana ee ondoka nna mwanamke tayari.
Hapa nawaza sijui nikamate mzungu tu huku niliko duh
Kumbe lengo lako ulitaka tu tujue kuwa haupo bongo,waafrika tuna tatizo sehemu..
 
jamani mboni nyie wanaume wagumu kuelewa? Uzi huu hau
wahusu
 
Simple! Muwahi kumpiga chini, kabla hajakuwahi
 
Back
Top Bottom