Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,626
Baba kijacho huyoooooooo....hongera, kama ulimwaga mbegu kwa shamba lenye rutuba lazima mazao yakubali wewe jiandae kupalilia tu!!
hata wanawake wenyewe hawajuagi wanabahatisha bahatisha!
kwani hiyo simu yako haina sehemu ya kudilitia meseji?
Sanaa za kina dada hizo. Ukiwa ----- utabebeshwa si chako. Shule si alishamaliza? Atakuweka gerezani kwa msingi upi?
halafu abonyeze kitufe cjha delete ,mchezo uwishhahahaaaa halafu je
halafu abofye kitufe cha kudelete, mchezo uwishe....hahahaaaa halafu je
atulieKhee... Ushauri mwingine ni kama nguvu za giza... HAYA AKISHADELETE AFANYE NINI..??
hahaha zipompa buana..ujinga ni ku delete meseji wakati moyoni unajua kabisa una kesi ya kujibu hahahahahaha
si kweli,kama mwanamke hajui ujauzito ni wa nani,basi amekubuu huyo,atakuwa katembea na zaidi ya mwanaume mmoja ndani ya wiki moja
ujinga ni ku delete meseji wakati moyoni unajua kabisa una kesi ya kujibu hahahahahaha