Nimepokea SMS hii nifanyeje?


Sijaelewa yaan msg ya dada huyo ndo hiyo mwez wa sita had huu wa tsa ni miez mitatu???? Sasa anajifungua lini
 
Sasa wewe siku zote hizo ulisubiri nini kufuta namba yake hadi kakutext ukamkumbuka
 
Mkuu hapo taabu utakayoipata ni bora mara 100000000000 unywe tu SUMU ufe kuliko yatakayo kukuta
 
Mkuu, inaonekana ukikikamata kijeba kinamsarandia mtoto wako unaweza kukiua!!

huyo ajiandae kuuza 0713 tu kaka, etna atembee na mafuta kabisaa! utakuta kijeba kabisa kinampigia misele mtoto mwenye umri wa kuwa mwanae...watoto waachwe wacheze wenyewe kwa wenyewe kibaba na mama, kisa cha kumharibu mtoto wangu nini!!
 
Hawa watoto hawa, yaani kidato cha nne, tayari anapigwa nao? tena unaweza kuta mleta mada hakukuta bikra pale! Dah, kaaz kwel kwel.
 
nawashukuru sana kwa mawazo yenu,,but bado ningependa kupata ushaur
 
Mpigie ujue anatabu gani na kwa nini uende gerezani...... tumoa condom unamwaga kama unaweka kwenye bakuli
 
kapimeni umri wa ujauzito coz inawezekana ikawa ya mwalimu au ikawa yako,mwisho wa siku mwanamke ndie mwenye uhakika wa aliyempa mimba

hata wanawake wenyewe hawajuagi wanabahatisha bahatisha!
 
vidole vyake vilikuwa vinamuandikia mwalimu msg,kichwa chake kilikuwa kinakuwaza wewe,wakati wa kutuma msg vidole vikachanganya vikatuma msg kwako,MSG SIO YAKO NI YA MWALIMU!
 

usimjibu chochote maana msgs zitabak kama ushahidi.... alfu msikilizie uone atafanya nini....
 
Ukileta masikhara utaenda jela kirahisi tu,utakuta ni mzigo wa ticha ila kampanga tayari akomae na wewe kama vipi mtafute mpwa wangu uyajenge nae ujue kulikoni jitahidi kukumbuka mara ya mwisho mliunganisha vikojoleo vyenu lini ili upate pakuanzia.
 
hama mkoa kabisa..ila kaa ukijua milima hakutani ila binadamu tunakutana..
 
Sijui kama hii habari umeiandika vyema!
Hata hiyo SMS uliyo inukuu haijakaa vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…