Niliingia katika mahusiano na dada mmoja mwishoni mwa November 2013 Baada ya yeye kumaliza kidato cha nne, tulipendana sana naye alitokea kunipenda.
Mwanzoni mwa mwezi wa 6 nikaamua kuachana naye kutokana na tabia yake kubadilika ghafla pia alianzisha uhusiano na mwalimu wake aliyemfundisha a_level tangu mwezi wa 6 hadi mwezi huu sijawahi kuwasiliana naye.
Leo asubuhi nimepokea sms imeandikwa hivi "TABU NINAYOPATA MIMI KAMA KWELI MI NIKAJIFUNGUA SALAMA WE JIANDAE KWENDA GEREZANI, NIMEVUMILIA SANA HADI SIKU YA LEO NINA UCHUNGU SANA, NILIKUWA NAKUFICHA LAKINI CJAZIONA FADHILA ZAKO"
Ushauri wako ni muhimu nianze wapi niishie wapi ili mambo yawe sawa maana haya ni majanga.