Salamu zenu wakuu,
Niko kizani kwa takribani wiki sasa bila access ya JF, ni topic gani ilikuwa kali zaidi wiki hii katika jukwaa hili?
Nimeingia hapa najiona mgeni vile, loh! miss neddy haujakalisha mtu mwingine kwenye kile kiti chako cha moto?
hahaha ulikuwa wapi kwanza week sikalisha reasons are beyond my control
hahaha ulikuwa wapi kwanza week hii sikukalisha reasons are beyond my of control
today ipo?
Huyu mwamba aliishia wapi sijuiHuyu mwamba alipotelea wapi?