Nimepitia video ya ndugu Samia hana furaha na hayuko sawa

Nimepitia video ya ndugu Samia hana furaha na hayuko sawa

Ana huzuni kvp wakati hapo ameingiza perdem yake ya zaidi ya 5M

Kwanza imekuwaje amefanya hiyo ziara kwa amani yani hakuna hata raia wa kurusha hata jiwe moja? 😭
Yule mama mja mzito aliyepigwa risasi, alikua na mpini kushoto jiwe kulia
 
Ni ngumu sana kua IKULU na usiwe na furaha, hata kama utanyongwa utanyongwa ukiwa unatabasamu like Fvck i have lived the life
 
Back
Top Bottom