themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 988
- 3,318
Yaani kutokea pale njiapanda ya Himo hadi Moshi-Arusha kuna utitiri wa trafki sijawahi kuonq, hawa wapunguzwe wahamishiwe vituoni huko wakapambane na uhalifu
Hamna sehemu yenye matrafiki njaa kama hiyo ya Arusha moshi unaweza kutoka dar bila kusimamishwa akaja ukasimamishwa hapo, af hakuachii bila pesa.Yaani kutokea pale njiapanda ya Himo hadi Moshi-Arusha kuna utitiri wa trafki sijawahi kuonq, hawa wapunguzwe wahamishiwe vituoni huko wakapambane na uhalifu
Wanawasubiri hao wanaorudi kwao wagawane mapato.Yaani kutokea pale njiapanda ya Himo hadi Moshi-Arusha kuna utitiri wa trafki sijawahi kuonq, hawa wapunguzwe wahamishiwe vituoni huko wakapambane na uhalifu
Wanasaidiaje?Wanasaidia sana kwenye hiyo njia,wewe umewahi kusikia ajali za mara kwa mara kwenye hiyo njia?
Pia kuna utitiri wa gari za majani ya ng'ombe wa maziwa huko milimani.Yaani kutokea pale njiapanda ya Himo hadi Moshi-Arusha kuna utitiri wa trafki sijawahi kuonq, hawa wapunguzwe wahamishiwe vituoni huko wakapambane na uhalifu
mkuu upo sahihi kabisa, kuanzia hapo njia panda mpaka arusha kuna kero kubwa sana ya hao jamaa. Tena ukiwa na gari binafsi ndo utajuta,
Hayo maeneo yana wakorofi wa nchi hii.Kuna maeneo/barabara wameonewa. Dar/Chalinze/segera /moshi/arusha ina trafiki wengi kushinda waliopo mkoa wa lindi na mtwara. Nimepita Dodoma/manyoni/tabora/mpanda/sumbawanga...hawafiki waliopo Arusha ..moshi.
Ni ngumu kumeza
Wanasaidia sana kwenye hiyo njia,wewe umewahi kusikia ajali za mara kwa mara kwenye hiyo njia?
Hizi ndio shida na tabu wanazoishi nazo watu aa kaskazini sasa kipindi hiki wanakuwaga mara mbili. Police anakusimamisha anakuambia tugawie na sisi hiyo hela uliochuma bana. Ooh tairi la kulia lina.,. Ooh speed tulipita babati mbio mtu upo kia.Yaani kutokea pale njiapanda ya Himo hadi Moshi-Arusha kuna utitiri wa trafki sijawahi kuonq, hawa wapunguzwe wahamishiwe vituoni huko wakapambane na uhalifu
Usishangae, madereva wa Arusha wajuaji na wababe na madereva wa Moshi wajuaji na wababe. Barabara hii ilikuwa na ajali nyingi sana hasa za kushindana spidi na kumulikiana na kuzima taa za ukungu wakati wa usiku, huku nfiko walikoanzisha madereva wanapokezana gari likiwa spidi ya 80km/s.Yaani kutokea pale njiapanda ya Himo hadi Moshi-Arusha kuna utitiri wa trafki sijawahi kuonq, hawa wapunguzwe wahamishiwe vituoni huko wakapambane na uhalifu
Mitaa ya Miwaleni na Mjohoroni utawakosa kweli?Njiapanda wapo
Mabungo wapo
Sango wapo
Mbwa ruki wapo
YMCA wapo
Mnajifanya wajuaji sana kwenye mikoa ya watu.Yaani kutokea pale njiapanda ya Himo hadi Moshi-Arusha kuna utitiri wa trafki sijawahi kuonq, hawa wapunguzwe wahamishiwe vituoni huko wakapambane na uhalifu
Watu wanaviherehere na hawajui loloteKumbuka Krismas imekaribia! Wakati mwingine wanatafuta hela ya sikukuu!
Hata hivyo wanastahili pongezi, barabara hiyo haijawahi kuwa na ajali nyingi.