Hahaha.. mkuu sisi wengine hiyo buku ten hatuiingizi hata kwa siku..Ni aibu kumtumia demu buku. Naona aliamua tu kukudharau. Hela ya vocha siwezi tuma chini ya 10,000.
Mbona mnatubagua wakuu.Kama kuna mwanaume ambaye kwake buku ni kubwa, basi hastahili kuwa na mwanamke yaani tena hastahili kabisa hata kuwa na hamu ya kufanya ngono anatakiwa atafute pesa aache kuwaza ujinga.
Teh ....
Kwa hiyo umenimind mkuu [emoji28][emoji28]
Si muache umalaya mnalalamika nini?
MmmhKwa kauli zake tu naassume hana hadhi hata ya kusalimiana na mimi status yake in real life mimi hainihusu na wala sitaki kuijua na kama amezaliwa huo mwaka aliouandika kwenye id yake ndiyo kabisa hakutakiwa hata kuireply comment yangu
Una uvumilivu....unatongoza leo unasubiria miezi 10 ijayo??Huyo unamtumia vocha ya 5000/= kabisa na usipige simu tena alafu unatulia zako bila kutarajia chochote in return kutoka kwake, nakuhakikishia tu utamla hata mwaka 2020 atarudi tu kwa njaa siku moja,
Usiwe na haraka pia jifunze kuweka viporo.
sometime unaweza kuona wenzio maboya kumbe wew ndio boilila kabsa...
we kichwa kchako kilichogundua n kuw jamaa analalamikia buku...
pole[emoji23][emoji23]
Tulisha kubalianaga kwenye kile kikao chetu hakuna kumuunga demu na bando, ww kiherehere chako kimekuponza. Ila wanawake badilikeni sikuhizi wanaume hatuoi wapiga mizinga
I'd yako inakutambulisha vizuri, kamuone kaka yako mahakama itakutetea
Kijana tafuta Ela nyingi nyingi
Khee mmeshabadilisha na maana ya malaya tena? Ninyi si mnasemaga mwanamke aliyetembea na wanaume wengi ni malaya ila mwanaume aliyetembea na wanawake wengi ni kidume?Hakuna mayala kama mnapeana kwa satifaction tu. Umalaya kama unauza
Sory sana chief 😆Nmemind kuniita ' dogo '
Weee kuna wanawake wamevifuga ndani hivyo na bado vinawanyanyasa na vinawasaliti havinaga hata shukraniSerengeti boys, kwa mitazamo yako ili kujiepusha na mifumo dume unakuwa nako ndani tuuu. Usikapuuze kanaweza
Ndiyo ila wewe troublemaker hauwezi kumsaidia mtu buku mbona wanaume wenzenu huwa mnawasaidia ila wanawake mnataka hadi wawape ngono?
Yaani unataka mwanamke ambaye mnaenda kufanya tu just for fun hamna malengo yoyote akupe mzigo kwa buku halafu mkitoka hapo wewe unaheshimika yeye anadharaulika is that what you guys want?
Jifanye unaringa alafu wakumwagie tindikali usoni domo likae kushoto ngozi ivutike hadi shingo ihamie kichogoni ndo ujione keki kumbe muhogo tu mkavuHiyo hadhi ya kunigegeda mimi unayo sasa? Hebu nitake radhi bwana!
Mimi hapa lakini ninakupenda hadi nahisi kuumwa Marrianah Mama [emoji8]Kama kuna mwanaume ambaye kwake buku ni kubwa, basi hastahili kuwa na mwanamke yaani tena hastahili kabisa hata kuwa na hamu ya kufanya ngono anatakiwa atafute pesa aache kuwaza ujinga.