Na pia anayetakiwa kupewa heshima na kufanyiwa kazi za ndani ni mume na siyo mpenzi sasa mbona wanaume wengi mnataka mfanyiwe hayo kwenye uchumba?Anaetunzwa ni mke
Kama sio mke atatunzwa na baba ake huko ni kuingilia majukumu yasituhusu ila wengi hawalielewi hili ni tamaa tu
Mimi ni kapuku mmoja hivi ambaye ni jobless,hopeless,helpless,defenseless ninayeishi chini ya $1 usd per day.
Yaani hiyo buku kwangu ni matumizi ya siku nzima na chenji inabaki ya kahawa kesho hasubui. Sasa kwa mujibu wa Marianah watu kama mimi hatutakiwi kabisa kuwaza kwichi kwichii ndio niko hapa nawaza[emoji1562][emoji3603][emoji1562][emoji3603]
Nitafute hela kwani unaniuzia nini?
Acha kudharau mdudu asiye na macho lakini awapo gizani huliona tundu lake na kuingia bila kukosea.
Ninawatoto5.
Ninanyumba ya tembe ( Nyasi ) kijijini wishiteleja, nyarukungu maswa..
Nina mashamba na majaruba ya mpunga kijijini wishitelejah..
Mke wangu mama chanja anamimba ingine. Najua watakuwa n mapacha tu.
Kijijini kwetu mimi ni kamanda wa sungusungu..
Nimekuja dar kuuza ng'ombe zangu
Sasa mimi ni mwanaume ama mvulana utajua mwenyewe..
Hivi wanawake mnaumiaga nini pindi msalitiwapo na vidume.. Yani unalionea wivu dusheeee??? Em kuweni sereouz basiii.
Kusaliti kwa mwanaume ni suna. Ila kwa mwanamke ni UMALAYA na adhabu yake ni kuachwa mileleeeeee
Jamani jamani mtuoneee huruma wakuu..
Siwezi piga mwanamke kamweUlimpiga au Ulimgegeda??
Thank you for that forensic analysis mr sbsHana lolote zaidi ya mikwara tu, cha ajabu Wanawake aina hii utajikuta unaingia gharama za kila namna ili umpate lakini utayoyashuhudia hadi utajilaumu ni kwanini alikupotezea muda akiwa anajiweka katika high class.
Sometimes huwa wanatumia sana hiyo mbinu kuficha madhaifu yao kama "defensive mechanism" ili hata kama utamkuta hana vigezo thabiti usijemuacha kirahisi rahisi tu.
NB sijasema kuwa ndivyo alivyo bali nimetolea mfano tu kwa uzoefu wa warembo ambao nilishakutana nao.
Kwakweli m nikisema na-OA huyu, huwa najitoa kwa asilimia zote. Mnaniangushaga nyie tu..
Kuna mmoja niliwai mlipia gharama za hospitali kabisa. Nilimthamini km mke.
Tulipanga aje nilipo. Nkatuma na nauli.
Ila bdae akaanza kunigeuza km zoba flani hivi. Nkajisemea mwenyewe ' Mapenzi n furaha, sasa mbona huyu ananipa stress tu. '
Kwa hiyo wengine tunamaanisha tunaposemaga. Ila mizinga ya kibiya ndio huwa inatukimbizaaaa...
Anaepaswa kuombwa papuchi ni mke kama sio mkeo mwache utaomba ukishamuoa huyo sio halali yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noma sana mazee
Mi mzima tu wangu🤣🤣🤣 vipi hujambo chaurembo wangu.Nambie Hamadi mzima wewe?
Siwezi piga mwanamke kamwe
Tu senti bora ingekuwa tuhelaBuku tu ndo umefungua na uzi.
Ungepigwa million si ungeweka kwenye billboard wewe.
Tafuteni hela wanaume muache kulia lia na tuhela tudogo tudogo
Buku tu ndo umefungua na uzi.
Ungepigwa million si ungeweka kwenye billboard wewe.
Tafuteni hela wanaume muache kulia lia na tuhela tudogo tudogo
Mi mzima tu wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pombe ikimuisha kichwani atakujibu vizuri labdaNa pia anayetakiwa kupewa heshima na kufanyiwa kazi za ndani ni mume na siyo mpenzi sasa mbona wanaume wengi mnataka mfanyiwe hayo kwenye uchumba?
We hujafurahi 😂😂😂???[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]naona umefurahi mwenyewe siyo??