James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Habari,
Naombeni Msaada,
Nimepokea ujumbe kwenye e-mail yangu kutoka kampuni ya DHL ikinitaka kufika katika ofisi za ma agent wao ili nipokee mzigo wangu uliotumwa, na katika email hiyo kuna tracking number. Kitu kinachonishangaza, sijawahi kuagiza mzigo kwao wala kutumia huduma zao.
Je, wadau mnanishauri vipi? Niende au? Je, kuna ukweli ndani yake au?
Thanks, msaada katika hili,