silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,534
- 2,219
Umenena vyema aisee nilikuuliza kusudi kwa kuwa kuna mtu humu aliniambia maneno yasio na staha. Sasa ajiulize watu wamepata mpaka link na kutengeneza namba za kutrace na ukiingiza inakupeleka uko uko alafu unasema DHL haiwezi kuwa hacked. Apo ao wezi walianza kuchezea hizo link za DHL ndipo wakapata namna ya kuingiza watu moja kwa moja ktk mfumo wanaoujua wao, cha msingi ni mamraka husika kuchukua hatua mara moja na DHL pia wanatakiwa kutoa maelezo juu ya hilo jambo
Nimejaribu kufuatilia nimeconfirm kwamba ni matapeli tu. Email inatoka kwa sonu@delhivery.com. yaani wamejaribu kufake website inayofanana na DHL .
Kitu chengine cha msingi kwa wana jf ni kwamba haya mambo si kama ni hadithi na pia sisi si wazembe. Si busara kudhihaki waathirika. Matapeli kila siku wanabuni mbinu mpya za kutapeli watu . U will never know when u will be victimised . Be careful u have been warned.