Nimepigika leo

Nimepigika leo

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
93,974
Reaction score
132,327
mbona hela hazikai matumizi yamekuwa makubwa vitu bei juu...hi hatari sana
 
mbona hela hazikai matumizi yamekuwa makubwa vitu bei juu...hi hatari sana

...tafsiri mujarabu ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, tena kwa kasi zaid,nguvu zaidi na ari zaidi, karibu Tanzania...
 
pole, wakati wengine wamepigika wengine wanapiga hela B.O.T
 
And at the end of the day, napokea barua ya ongezeko la kodi ya nyumba..!!
 
ukipika ujue kuna mwenzio kapiga mahali!

miaka 10 imepotea hivi hivi tunaiona!
 
Kodi zinapanda,umeme juu
Ni shidaaa
 
Pole nchi hii haiwezekaniki.kama serious unataka nafuu ya maisha hapa duniani hama nchi.hapa utalalamika hivo hivo milel
 
Back
Top Bottom