lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,222
Igweeeeeeeeeeeeeeee!
Kabla ya wote nyie Marioo wa humu MNIKOMEEEE! Sina uhaba wa mabwana! Kuwaambia nimenpenda Ben 10 basi ndo kujazana inbox yangu! MI SIFUGI MABWANA! Mnitueee kabisaaa! Ben 10 nimempendaaa mwenyewe! Mtoto mtamuuu mpaka kanirudisha humu!
BACK TO TOPIC!
Nianze kwa kusema Complex questions have very simple solutions! Hata katika maisha mtazamo wako wa mambo unaweza kuwa tatizo tosha!
Hii katiba ya dating ya wahenga is totally OUTDATED! Times have changed indeed! Kuingangania kumeleta masikitiko kuliko furaha! Hasa kwa wanawake!
1. Mwanaume kama unampenda usimpe mapema! Atakuona malaya! Maybe! Maybe not! (Eti wanaume mkipewa mapema mnamuona mtu malaya? Kwa kuzingatia hio factor moja tu? Nani kasema? Bibi yako? MWAKA GANI? 1918! Wanaume aliowazungumzia sio hawa wa Bank dyadya ni walima mkonge na pamba, active members wa ushirika!
What i say is take your luck head on before you are not so lucky anymore! Afterall he is not your first! Tena kwa wanaume ndo WORSE! Unajikuta ushakuwa kaka wa hiari! Friendzone ndo utachoambulia! I say be direct! Kama kupewa upewe kama hupewi okoa mda hamia kwa shost yake kashachezea bahati!
Usimuombe mwanaume hela! Ataona unamuuzia! Maybe! Maybenot! Inategemeana! If he can afford it why not? Hizo pesa ale nani? Ishatokea mimi bwana wa mtu ananilalamia live yule binti mshamba hapendi vitu vizurii hanifai! Ka status yangu siwezi kuwa na binti rough rough anavaa santuraa! Nikamuuliza binti yule kwanini huji upgrade? Anaanza ooh mi kuomba siwezi anipe mwenyewe! Bwana alimkosa mchana kweupeee!
Hata wanaume kama mwanamke ana pesa au anatoka familia influential ask for favors uji improve! Dont be shy! Trust me bahati haitodumu! Kama huna kazi baba mkwe ana kampuni msumbue akupe kazi mpaka akome! Kama demu anajiweza mchane live achangie chama! Jenga hoja ya hio pesa unayohitaji! Mawaiza aliokupa baba yako utaishia kama yeye! Je unataka kuishia kama yeye?
Wanawake msitongoze wanaume watawatumia! Watatutumia au tutatumiana? Its 2020 for facks sake! Hasara ya hili utatembea na kuolewa na masantula tu yaliyokutongoza ukishuhudia the creme dela creme ikifaidiwa na mashot zako wa zako!
Inawezekana umempenda mtu mnoo mpaka kuwa tayari kumloga! Unamaliza aya za bibilia tu akutongoze ITS A LONG SHOT! Try texting him! Ndo maana malaya wanapata creme dela cream! They hunt! Their game their rules! Ile mizoga ndo utayoambulia zama hizi! Nishaenda kwenye maombi naona watu wanaandika majina ya vijana kuomba Mungu afungue njia ya uchumba! WTF! Very low self esteem! Go for the best and only the best! Mwanaume mzima unajikunguta kalio kile kina kirefuuu! Vaa diving gears zama mzima mzima!
Hao wanaume wenzio wana wamudu wanazo 2? Shubhamiiiit kabisaa! Utaishia na sisi kina Mwajuma ndala ndefu tunakuomba buku usisahau ya kutolea! Ukifika miaka 60 unajiuliza mbona Sir God hakukupenda kabisaaa! You wish for a second life! We live once if you live well once is enough!
ENDELEZENI NA NYIE KUCHAMBUA KATIBA KWA NYAKATI ZA SASA!
Note! You may agree to disagree!