Nimepewe urithi wangu mapema, nimechanganyikiwa

Vile mnavyokata mitaji sipati picha.

Mzee anapima akili yako,
 
Nimecheka kama mtoto mzee wa kuwapaka
Na akizipata nyingi aende kitambaa cheupe akawe mzee wa kuwapakata
 
Kwenye swala la madini unaweza ukatoboa kama ukiwa mnunuzi mzuri na makini kwenye dhahabu
Asikudanganye mtu mkuu! Nipo field hiyo zaidi ya miaka kumi swala la kununua dhahabu lilikua zamani sa ivi ataangukia pua
 
Usinunue NYUMBA ni kuzika Ela utanishukuru Mtoa Mada
 
Njoo mor mkuu twende samaki sport tukalewe kwanza ndio tutapata hakili nini ufanyeee
 
Mkuu,Kama ni Urithi na Unahofu Juu ya namna ya kuitumia Basi Nicheck PM kwa maelekezo zaidi.Ili kuna existing Business ambayo unaweza kuwa MBIA kwa Mfumo ambao ni salama.Biashara iko Based Kanda ya ZIWA.Ukiwa Tayari kuwekeza.Utapata Ajira kwenye kampuni na Pia Utakuwa ni mmiliki anayeweza Pata Dividend.Kama uko Interested nicheck PM.Ila Minimum Investment itatakiwa ni 10 Milion.
 
Huo sio urithi kwani ujui maana ya urithi?alie kupa hiyo hela kakosea sana ilimpasa akifundishe kazi ya kufanyisha hiyo hela ona sasa umearibu hela umekiblia kununua banda wengi udhani wakiwa na nyumba shida zimeisha kumbe sio kweli
 
Huo sio urithi kwani ujui maana ya urithi?alie kupa hiyo hela kakosea sana ilimpasa akifundishe kazi ya kufanyisha hiyo hela ona sasa umearibu hela umekiblia kununua banda wengi udhani wakiwa na nyumba shida zimeisha kumbe sio kweli
Waache wamdanganye anunue nyumba alafu aje kuomba Ela kula humu,nyumba ni kuzika Ela
 
..tafuta mtoto mkali piga miti jasho likutoke...alafu ndio kaa tafakari weka plan ya matumizi ya hiyo hela...uwekezaji wa nguvu bila jasho ni kununua hati fungani...treasury bonds/bills BoT...nunua hata za mil 8 ..utapiga hela ndefu mno bila jasho baadae...inayobaki mil 10 weka benki alafu panga biashara ya maana...usijenge..hiyo hela ni ndogo mno kujengea...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…