umeleta topiki halafu kufafanua hutaki basi baki na litopiki lakoJiongeze sio lazima nianike kila kitu hapa
Safi mkuu,Mkuu Joka uko kama mimi.Watoto wa siku hizi na hata watu wanaojiita watu wazima wanashindwa kuelewa simple principle kama hii.Kua mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida sana.Mimi Mpenzi wangu ndiye niliyemuunga Facebook hivyo kila kitu kinachoendelea nakifahamu. Nilichojifunza ni kuwa wanawake wanatongozwa sana. Unaweza kuta ana SMS 50 na zote ni kutongozwa huku wengine wakimuahidi pesa ndefu. Ni ishu ya kawaida hasa kwa wanaume wenye roho ngumu kama Joka
Umefungua uzi ili tubashiri uliyoyakuta huko messenger!!Jiongeze sio lazima nianike kila kitu hapa
HahahaSafi mkuu,Mkuu Joka uko kama mimi.Watoto wa siku hizi na hata watu wanaojiita watu wazima wanashindwa kuelewa simple principle kama hii.Kua mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida sana.
Ila utakuta mtu eti ana mchunga mpenzi wake kama kuku,Mara ooh akimuona mpenzi wake anaongea na ndugu yake wa kiume au anaongea na mjomba wake barabarani unakuta jitu zima linaanza kupanic."Eti huyo alikua nani?" "Mbona mimi simjui"..
Sasa huko alifuata nini? Kajitakia mwenyewe... mwanamke hawezi acha kutongozwa...
Safi mkuu,Mkuu Joka uko kama mimi.Watoto wa siku hizi na hata watu wanaojiita watu wazima wanashindwa kuelewa simple principle kama hii.Kua mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida sana.
Ila utakuta mtu eti ana mchunga mpenzi wake kama kuku,Mara ooh akimuona mpenzi wake anaongea na ndugu yake wa kiume au anaongea na mjomba wake barabarani unakuta jitu zima linaanza kupanic."Eti huyo alikua nani?" "Mbona mimi simjui"..
Ushamuua?Wakuu kama kichwa kilivyo hawa wanawake zetu tusikubali kuingia ama kuchungulia message zao kifo nje nje! Dunia hii
Huyu anastahili kichapo inauma Sana