Nimepewa onyo kali na mume wa mchepuko wangu

Mbona unajishusha hivyo, kwani huna thamani ya kuwa na girlfriend au mke wako? Ya nini kutafuta matatizo ya kulala na wake za watu?

Au we mario, huna uwezo wa kuhudumia mwanamke? Coz wengi wenu huwa mnatafuta readymade.
Mkuu hawa wamama huwa wanajitongozesha wenyewe ukisema ujaribu mara moja tu ndio ivyo unajikuta umezama
 
mkuu usipangiwe mwanamke wa kuwa nae,,,,,wala hakuna aliyekushauri ukamtongoze so wewe kula mzingo,

na mme wake nenda ukamuone umwambie hupangiwi na mtu
 
Nimekuwa nikichepuka na mke ya Mutu kwa muda sasa bila hata ya uyo bwana wake kujua

Kama ilivyo kawaida za mwizi ni 40, jana mme wake kanasa sms zangu kwa wife wake na kathibitisha mimi ndio huwa nampa mkewe jeuri na hapa ndoa hiyo imeingia kwenye mgogoro mkubwa ambao unahitaji wazee ndio wauweke sawa

Uyo mmewe kanipigia simu na kunitumia sms ya vitisho tena isiyokuwa na lugha yenye staha pia

Amenipa onyo kali sana na kunitaka niwachane na mke wake!
uyu mke wake ananipenda sana na hivi ananipigia simu anasema yakitulia ataniambia tuyaendeleze

Hapa nipo njiapanda wakuu, jamaa anaweza vunja mtu mguu huyu natamani hata niame mtaa huu

Lakini pia ameniomba nimtafute tukaongee tuyamalize kiume, ndio nipo najiuliza hapa hili onyo alilotoa kali hivi
nikionana nae nini kitatokea sijui
Waliopoteza nini sijuiii...?!! UTAKUWEPOOOOOOOOOOO
 
Aisee stori yako kama yangu, mimi bwana kuna binti nilisoma naye primary nikawa namtaka ila anabana, basi akaja akaolewa na jamaa fln. Siku nikiwa hapa town nikakutana naye mahali tukapena namba. Ile kuchat anakaanza kuniambia madhaifu kibao ya mume wake ,nikawa namshauri atulie maana ndiyo maisha. Basi akaanza kuniambia eti Mimi ndiye ningekuwa mume wake sema utoto ukamfanya asinikubalie. Ikatoa siku mume wake kanasa Yale mazungumuzo , bahati mbaya akamdanganya mume wake eti mimi nasoma naye, jamaa kwa ujanja akanipigia simu eti njoo tufanye ile assignment ya prof nikamwambia umekosea namba mimi sisomi nilishamaliza chuo. Baada ya hapo jamaa akanifungukia kuwa naharibu ndoa yake. Aisee ilibidi nifunguke nimwambie jamaa ukweli na kumuomba samahani. Jamaa tushaonana sema yeye hanijui kiundani japo ananishtukia. Japo sipendi wala sina mpango wa kuwa na yule binti (mke wa mtu) ila jamaa kaoa fundi kunako 6 kwa sita aisee ni noma.Ila Mungu anisamehe maana ukila vya watu usichukie vyakwako vikiliwa.
 
Mkuu hawa wamama huwa wanajitongozesha wenyewe ukisema ujaribu mara moja tu ndio ivyo unajikuta umezama
You don't need to, unajishushia hadhi tu coz mara nyingi mwisho wake sio mzuri, unadhalilishwa!!

Man up, tafuta wa kwako, mpe huduma zote + dyudyu.
 
Aisee stori yako kama yangu, mimi bwana kuna binti nilisoma naye primary nikawa namtaka ila anabana, basi akaja akaolewa na jamaa fln. Siku nikiwa hapa town nikakutana naye mahali tukapena namba. Ile kuchat anakaanza kuniambia madhaifu kibao ya mume wake ,nikawa namshauri atulie maana ndiyo maisha. Basi akaanza kuniambia eti Mimi ndiye ningekuwa mume wake sema utoto ukamfanya asinikubalie. Ikatoa siku mume wake kanasa Yale mazungumuzo , bahati mbaya akamdanganya mume wake eti mimi nasoma naye, jamaa kwa ujanja akanipigia simu eti njoo tufanye ile assignment ya prof nikamwambia umekosea namba mimi sisomi nilishamaliza chuo. Baada ya hapo jamaa akanifungukia kuwa naharibu ndoa yake. Aisee ilibidi nifunguke nimwambie jamaa ukweli na kumuomba samahani. Jamaa tushaonana sema yeye hanijui kiundani japo ananishtukia. Japo sipendi wala sina mpango wa kuwa na yule binti (mke wa mtu) ila jamaa kaoa fundi kunako 6 kwa sita aisee ni noma.Ila Mungu anisamehe maana ukila vya watu usichukie vyakwako vikiliwa.
Safi sana mkuu ni kupiga na kuacha
 
Back
Top Bottom