Nimepewa onyo kali na mume wa mchepuko wangu

Nimekuwa nikichepuka na mke ya Mutu kwa muda sasa bila hata ya uyo bwana wake kujua

Kama ilivyo kawaida za mwizi ni 40, jana mme wake kanasa sms zangu kwa wife wake na kathibitisha mimi ndio huwa nampa mkewe jeuri na hapa ndoa hiyo imeingia kwenye mgogoro mkubwa ambao unahitaji wazee ndio wauweke sawa

Uyo mmewe kanipigia simu na kunitumia sms ya vitisho tena isiyokuwa na lugha yenye staha pia

Amenipa onyo kali sana na kunitaka niwachane na mke wake!
uyu mke wake ananipenda sana na hivi ananipigia simu anasema yakitulia ataniambia tuyaendeleze

Hapa nipo njiapanda wakuu, jamaa anaweza vunja mtu mguu huyu natamani hata niame mtaa huu

Lakini pia ameniomba nimtafute tukaongee tuyamalize kiume, ndio nipo najiuliza hapa hili onyo alilotoa kali hivi
nikionana nae nini kitatokea sijui
Unajua maana ya kuyamaliza kiume? usisahahu kilainishi ndugu ukienda onana nae.
 
Adhabu utakayo pewa ukikutana nae,

Utakuwa ni mshahara wako wa dhambi zako.
Usisahau kuleta mrejesho.
 
Nimekuwa nikichepuka na mke ya Mutu kwa muda sasa bila hata ya uyo bwana wake kujua

Kama ilivyo kawaida za mwizi ni 40, jana mme wake kanasa sms zangu kwa wife wake na kathibitisha mimi ndio huwa nampa mkewe jeuri na hapa ndoa hiyo imeingia kwenye mgogoro mkubwa ambao unahitaji wazee ndio wauweke sawa

Uyo mmewe kanipigia simu na kunitumia sms ya vitisho tena isiyokuwa na lugha yenye staha pia

Amenipa onyo kali sana na kunitaka niwachane na mke wake!
uyu mke wake ananipenda sana na hivi ananipigia simu anasema yakitulia ataniambia tuyaendeleze

Hapa nipo njiapanda wakuu, jamaa anaweza vunja mtu mguu huyu natamani hata niame mtaa huu

Lakini pia ameniomba nimtafute tukaongee tuyamalize kiume, ndio nipo najiuliza hapa hili onyo alilotoa kali hivi
nikionana nae nini kitatokea sijui
Unapoenda kuonana nae ili muyamalizw kiume usisahau kubeba KY gelly
 
Mkuu umeyandaa "marinda" kwa kibarua kizito kilichopo mbele yako..?
maana wahenga walinena kabla ya kuanza mbio sharti uagane na nyonga.

pia kumbuka siku zote mke wa mtu siku zote ni sumu kali sana isiyo na maziwa
 
Nimekuwa nikichepuka na mke ya Mutu kwa muda sasa bila hata ya uyo bwana wake kujua

Kama ilivyo kawaida za mwizi ni 40, jana mme wake kanasa sms zangu kwa wife wake na kathibitisha mimi ndio huwa nampa mkewe jeuri na hapa ndoa hiyo imeingia kwenye mgogoro mkubwa ambao unahitaji wazee ndio wauweke sawa

Uyo mmewe kanipigia simu na kunitumia sms ya vitisho tena isiyokuwa na lugha yenye staha pia

Amenipa onyo kali sana na kunitaka niwachane na mke wake!
uyu mke wake ananipenda sana na hivi ananipigia simu anasema yakitulia ataniambia tuyaendeleze

Hapa nipo njiapanda wakuu, jamaa anaweza vunja mtu mguu huyu natamani hata niame mtaa huu

Lakini pia ameniomba nimtafute tukaongee tuyamalize kiume, ndio nipo najiuliza hapa hili onyo alilotoa kali hivi
nikionana nae nini kitatokea sijui

....Nyie ndiyo mnaochangia waafrika kuonekana na akina Trump kwamba ni zero brain, na kwamba kazi tunayoimudu na kuiwaza kila sekunde ni ngono tuu. I wish huyo jamaa angekukata kikojoleo kwanza halafu tuone kama ungekuja kumwaga upupu hapa.
 
Mbona unajishusha hivyo, kwani huna thamani ya kuwa na girlfriend au mke wako? Ya nini kutafuta matatizo ya kulala na wake za watu?

Au we mario, huna uwezo wa kuhudumia mwanamke? Coz wengi wenu huwa mnatafuta readymade.
 
Nimekuwa nikichepuka na mke ya Mutu kwa muda sasa bila hata ya uyo bwana wake kujua

Kama ilivyo kawaida za mwizi ni 40, jana mme wake kanasa sms zangu kwa wife wake na kathibitisha mimi ndio huwa nampa mkewe jeuri na hapa ndoa hiyo imeingia kwenye mgogoro mkubwa ambao unahitaji wazee ndio wauweke sawa

Uyo mmewe kanipigia simu na kunitumia sms ya vitisho tena isiyokuwa na lugha yenye staha pia

Amenipa onyo kali sana na kunitaka niwachane na mke wake!
uyu mke wake ananipenda sana na hivi ananipigia simu anasema yakitulia ataniambia tuyaendeleze

Hapa nipo njiapanda wakuu, jamaa anaweza vunja mtu mguu huyu natamani hata niame mtaa huu

Lakini pia ameniomba nimtafute tukaongee tuyamalize kiume, ndio nipo najiuliza hapa hili onyo alilotoa kali hivi
nikionana nae nini kitatokea sijui

oa wako achana na wake za watu
 
Uyo mmewe kanipigia simu na kunitumia sms ya vitisho tena isiyokuwa na lugha yenye staha pia
Pumbavu kabisa yaani unatembea na mke wa mtu alafu unaleta ushizi hapa kuwa kakupigia simu na kukutolea maneno yasiyo na staha!

Mwnaizaya wewe
 
Back
Top Bottom