Nimepewa onyo kali na mume wa mchepuko wangu

jiandae kuliwa mtandao pendwa...kama unahitaji marinda yako yawe salama achana na mke wa mtu la sivyo watakujames delicious
 
Nimekuwa nikichepuka na mke ya Mutu kwa muda sasa bila hata ya uyo bwana wake kujua

Kama ilivyo kawaida za mwizi ni 40, jana mme wake kanasa sms zangu kwa wife wake na kathibitisha mimi ndio huwa nampa mkewe jeuri na hapa ndoa hiyo imeingia kwenye mgogoro mkubwa ambao unahitaji wazee ndio wauweke sawa

Uyo mmewe kanipigia simu na kunitumia sms ya vitisho tena isiyokuwa na lugha yenye staha pia

Amenipa onyo kali sana na kunitaka niwachane na mke wake!
uyu mke wake ananipenda sana na hivi ananipigia simu anasema yakitulia ataniambia tuyaendeleze

Hapa nipo njiapanda wakuu, jamaa anaweza vunja mtu mguu huyu natamani hata niame mtaa huu

Lakini pia ameniomba nimtafute tukaongee tuyamalize kiume, ndio nipo najiuliza hapa hili onyo alilotoa kali hivi
nikionana nae nini kitatokea sijui
Ukithubutu ujue unaenda kutolewa malinda a.k.a kuchezea kifir[emoji767]
 
Subiri kidume aku ARAFAT NGUMI JIWE, si uliona utamu eeh!!!
 
Nimekuwa nikichepuka na mke ya Mutu kwa muda sasa bila hata ya uyo bwana wake kujua

Kama ilivyo kawaida za mwizi ni 40, jana mme wake kanasa sms zangu kwa wife wake na kathibitisha mimi ndio huwa nampa mkewe jeuri na hapa ndoa hiyo imeingia kwenye mgogoro mkubwa ambao unahitaji wazee ndio wauweke sawa

Uyo mmewe kanipigia simu na kunitumia sms ya vitisho tena isiyokuwa na lugha yenye staha pia

Amenipa onyo kali sana na kunitaka niwachane na mke wake!
uyu mke wake ananipenda sana na hivi ananipigia simu anasema yakitulia ataniambia tuyaendeleze

Hapa nipo njiapanda wakuu, jamaa anaweza vunja mtu mguu huyu natamani hata niame mtaa huu

Lakini pia ameniomba nimtafute tukaongee tuyamalize kiume, ndio nipo najiuliza hapa hili onyo alilotoa kali hivi
nikionana nae nini kitatokea sijui
kizazi cha uzinzi hivi mtaacha lini kuyatenda haya Neno linatuambia ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi lkn ww unakazana etii mkewe ananipenda jamani vijana embu tuheshimu ndoa za watu na nyie wanandoa embu heshimuni ndoa zenu jamani kwa nini hivi hivi umeshajaribu kuvaa viatu vya huyo mwenye mke ingekuwa ni wako ingekuaje au ungejisikia vipi.uwiiiiiiiii
 
Kwa dalili zote huna siku nyingi wazee watachana BOGA hilo
 
Aisee kama una ham na ky jelly endelea na huyo mke wa mtu. Amesha kuponza na atakuharibia zaid... kimbia man.. badilisha hata namba ya simu
 
Nimekuwa nikichepuka na mke ya Mutu kwa muda sasa bila hata ya uyo bwana wake kujua

Kama ilivyo kawaida za mwizi ni 40, jana mme wake kanasa sms zangu kwa wife wake na kathibitisha mimi ndio huwa nampa mkewe jeuri na hapa ndoa hiyo imeingia kwenye mgogoro mkubwa ambao unahitaji wazee ndio wauweke sawa

Uyo mmewe kanipigia simu na kunitumia sms ya vitisho tena isiyokuwa na lugha yenye staha pia

Amenipa onyo kali sana na kunitaka niwachane na mke wake!
uyu mke wake ananipenda sana na hivi ananipigia simu anasema yakitulia ataniambia tuyaendeleze

Hapa nipo njiapanda wakuu, jamaa anaweza vunja mtu mguu huyu natamani hata niame mtaa huu

Lakini pia ameniomba nimtafute tukaongee tuyamalize kiume, ndio nipo najiuliza hapa hili onyo alilotoa kali hivi
nikionana nae nini kitatokea sijui
Yaani kama ni Mimi nakukabidhi jumla umwoa kabisa yaishe
 
mnaambiwa kila siku mke wa mtu ni sumu hamuelewi, mtu anagharamia mkewe kila kitu ww ujipigie tu kirahisi

mtafute akakukule
 
Mkuu tangu hii dunia ianze umesikia wangapi wameliwa kisa mke ya mutu?
 
Nimekuwa nikichepuka na mke ya Mutu kwa muda sasa bila hata ya uyo bwana wake kujua

Kama ilivyo kawaida za mwizi ni 40, jana mme wake kanasa sms zangu kwa wife wake na kathibitisha mimi ndio huwa nampa mkewe jeuri na hapa ndoa hiyo imeingia kwenye mgogoro mkubwa ambao unahitaji wazee ndio wauweke sawa

Uyo mmewe kanipigia simu na kunitumia sms ya vitisho tena isiyokuwa na lugha yenye staha pia

Amenipa onyo kali sana na kunitaka niwachane na mke wake!
uyu mke wake ananipenda sana na hivi ananipigia simu anasema yakitulia ataniambia tuyaendeleze

Hapa nipo njiapanda wakuu, jamaa anaweza vunja mtu mguu huyu natamani hata niame mtaa huu

Lakini pia ameniomba nimtafute tukaongee tuyamalize kiume, ndio nipo najiuliza hapa hili onyo alilotoa kali hivi
nikionana nae nini kitatokea sijui

Huyo mume wa mchepuko wako ni MUOGA, Jamaa hawezi kukutumia meseji ya kukupiga mkwara na tena akuombe mkutane myamalize kiume kama hana uoga! A real Man anakutafuta kimya kimya halafu anakufundisha jinsi ya kukaa mbali na wake za watu, Anakufanya kitu hutokaa usahau katika maisha yako
 
Huyo mume wa mchepuko wako ni MUOGA, Jamaa hawezi kukutumia meseji ya kukupiga mkwara na tena akuombe mkutatane myamalize kiume kama kama hana uoga! A real Man anakutafuta kimya kimya halafu anakufundisha jinsi ya kukaa mbali na wake za watu, Anakufanya kitu hutokaa usahau katika maisha yako
Kweli mkuu
ila iyo kunifanyia kitu anaweza jikuta nimemgeukia yeye pia

Anatakiwa ajitafakari kwanza kama anauwezo huo
 
Back
Top Bottom