Nimependekezwa bunge la katiba

Nimependekezwa bunge la katiba

kama una nia ya dhati weka jina lako hapa
katina ni yetu sote unaficha jina unaongopa nini?
 
nani kakudanganya wasifu wa wanajf ni wa ukweli? wewe unaitwa watu8 au usanii tu.

Mbona unaweweseka ndugu?

Ninachofahamu mimi ni kuwa JF ni nyumbani kwa watu wenye fikra pevu (Home of Great Thinker)

Maana yangu ya kutaka kupitia wasifu wako si kama ambavyo umeelewa, bali nataka kuelewa wasifu wako kwa mitazamo ya kifikra pevu.

Kwa taarifa yako mawazo ya mtu huishi ndani ya fikra zake, fikra za mtu huweza kuwakilishwa kwa matamshi au maandishi.

Mjumuiko wa hayo yote huweza kujumuishwa sehemu ya wasifu wa mtu.
 
catch me well
"dont act to us as ur going to provide bliss to Tanzanian while you act as a bridging Mortgage
:sad: via our views "
 
Unakwenda kupinga maoni ya wengi? eti serikali mbili hivi ninyi ccm lini mtakuwa?
 
JEKI,katuwakilishe vyemaa mkuu,na pesa ya nchi TUMIAAA ,nafasi si umepata bwana,ya nini kujivunga,tunakuja miaka ijayo na sisi...
 
Last edited by a moderator:
Wanajanvi, Mungu akipenda basi nitawakilisha Bunge la Katiba, jina langu ni moja ya majina yaliyopendekezwa na kundi langu kuwakilisha. Hivyo nikiwa kama mwanajf naomba sala zenu na hata ikibidi matambiko ya kimila ili niweze kuingia na kutetea masilahi mapana ya watanzania, niwaahidi tu nikifanikiwa msimamo wangu juu ya Muungano utakuwa ni wa serikali 2 huru kwanza na suala la Muungano litajadiliwa na nchi husika zikiwa huru na kama itaonekana kuna umuhimu basi tutaungana baadae, hakuna haja ya kulazimisha kuungana kama kuna pande haitaki na ikibidi basi tutaungana na Zanzibar katika shirikisho la Afrika mashariki zikiwa nchi huru.

Tulisahau kuweka serikali ya mseto kama vyama havijafikia zaidi ya 50% ili kuzuia gharama za uchaguzi Mpya.
Itasaidia kuingiza vyama vingine vya siasa kwenye serikali ya mseto,maana haviungani bado havihitaji Kuwa kwenye dola,wanaridhika na ruzuku na posho tu.
 
Pia naenda kuwakilisha Cash Kings ,ma Don sijui mwenzetu mtoa mada anaenda kuwakilisha kundi gani maana ata milembe wametuma mwakilishi wao pia



EHHEE ,hata me naona,WAUZA SEMBE pia ni ma'Cash kings,mpo pamojaaaa?!?
 
Back
Top Bottom