mkuu Mgibeon una maanisha nini hapo kwenye bold!Headache hao kaka! Wadada waliofika chuo 95% wametumika to the very highest point....! Then about game mshkuru Mungu kuna uwezekano anakuepusha na majanga! DONT TRUST A WOMAN EVEN IF SHE IS DEAD.
kutwa wanawake wasomi wasomi, hapo hapo hahawaachi.
Kuna Maombi Ya Aina Nyingi,Nazani Mwenzetu ni Mzee wa kuomba K!!
MZABZAB! Kipimo Cha Upendo Si Ngono,Bali Ni Maelewano Ya Wawili!
Cha Muhimu Jamaa Akomae,Tena Ikibidi Hasimkumbushe Mambo Ya Mbunye Kabisaaa...Mapenzi Ni Kama Game,Unaweza Kuta Jamaa Anajalibiwa(akiacha Nae Ataitwa Muogopaji Kama Wenzake),kama Demu Wake Hana Micharuko Na Wanaheshimiana...Hapo Akomae Tu!!
Miezi Miwili kelele?
HAUJAKUTANA NA VYUMA WEWE...WATU WANAHESABU MIAKA NA WANASONGA TU!!
Ya nini kuuma usiloweza kutafuna??
nifanye nini mimi sikwenda chuo niliishia sec lakini nafanya shughuli zangu na maisha yangu ni mazuri,ila sasa huyu mwanamke niliye naye ni msomi sana kuna wakati naona kama tukioana hatutafika mbali,halafu ananinyima mchezo wa kitandani toka tumeanza uhusiano ni mwezi wa pili hajawi kunipa,ana maana gani??kila siku naomba ila ameniambia hataki haraka,niendelee naye au nimpige chini?
Mkuu umeongea point sana,nashukuru kwa ushauri wako,leo tunatoka out nilitaka nikache,,thank you
rafiki yake aliniambia wanaume wanamwogopa,hilo swala linanichanganya kwa nini aogopwe na wanaume?
Nifanye nini mimi sikwenda chuo niliishia sec lakini nafanya shughuli zangu na maisha yangu ni mazuri,ila sasa huyu mwanamke niliye naye ni msomi sana kuna wakati naona kama tukioana hatutafika mbali,halafu ananinyima mchezo wa kitandani toka tumeanza uhusiano ni mwezi wa pili hajawi kunipa,ana maana gani??kila siku naomba ila ameniambia hataki haraka,niendelee naye au nimpige chini?
Huenda ni kutokana na msimamo wake au usomi wake,ila sanasana msimamo wake coz unakuta wengi wasomi ila wanaume wanamuaproach kila kukicha kutokana na uhaba wa msimamo imara.rafiki yake aliniambia wanaume wanamwogopa,hilo swala linanichanganya kwa nini aogopwe na wanaume?