N ng'adi lawi JF-Expert Member Joined Sep 27, 2014 Posts 2,956 Reaction score 1,116 Aug 3, 2015 Thread starter #81 Huko ni kutapatapa na kutokuwa msimamo(opportunism).chadema inajitofautisha na ccm katika maadili na ikulu ni lengo lkn si kwa gharama yoyote hasa ufisadi. Hata hivyo lowasa ana hakika gani kushinda kama siyo kuja kutuchafua?
Huko ni kutapatapa na kutokuwa msimamo(opportunism).chadema inajitofautisha na ccm katika maadili na ikulu ni lengo lkn si kwa gharama yoyote hasa ufisadi. Hata hivyo lowasa ana hakika gani kushinda kama siyo kuja kutuchafua?
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,196 Reaction score 11,623 Aug 3, 2015 #82 Huu ndiyo mdimamo wake Dr.Slaa. Attachments 1438573286647.jpg 30.2 KB · Views: 173