Mpeni Nyalandu majina ya majangili. Nilimsikia akisema hatamwonea mtu haya kumtaja na kumchukulia hatua hata kama ni kiongozi!
Mawaziri wa CCM ni majanga mfano Januari Makamba ameandika makala ya kiingereza kwa ustadi wa hali ya juu kusifia ki mtambo alicho muuzia JK aweze kuhutubia vizuri,
So sad.
Kinana na cccm kwa ujumla ni janga kwa TanzaniaKinana weka mbali na tembo
Msigwa kweli ni mwanasiasa mwenye utashi wa hali ya juu, jioni yaani muda huu amehojiwa na BBC na kuituhumu serikali ya ccm kuwa ndio majangili wa tembo wetu na pia kasema alivyowataja wanaojihusisha na biashara ya tembo bungeni baadhi ya mawaziri walisimama bungeni kuwatetea majangili hao badala yakuomba ushahidi kutoka kwake.
Shiiiiiiiiiiii! Wewe sasa unataka kumkumbusha nia yake ya kumburuza shujaa wetu mahakamani!Kinana ni jangiri hili lipo wazi.
Mpeni Nyalandu majina ya majangili. Nilimsikia akisema hatamwonea mtu haya kumtaja na kumchukulia hatua hata kama ni kiongozi!