Nimependa maelezo ya Peter Msigwa BBC muda huu

Nimependa maelezo ya Peter Msigwa BBC muda huu

mtu kama kinana ni jangiri anafahamika na rithiwani kikwete naye ni jangili sasa wewe ona kiwewe cha serikali walisema watamfungulia mashtaka ila wameishia sijui wapi CCM,JK NA FAMILIA YAKE ni majangili wakutisha
 
Sijawaona hata mlumumba hata mmoja katika hii thread..

Hivi ni kwanini labda?
 
Back
Top Bottom