KYAMTUNDU
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 1,820
- 295
ile kesi aliyofungua kinana dhidi ya Msigwa mbona haianzi?
Jibu atakuwa nalo NEPI aaaah, sorry NAPE!
ile kesi aliyofungua kinana dhidi ya Msigwa mbona haianzi?
Yaani yule ni empty suit. Anajisifu jinsi alivyomfundisha JK kutumia teleprompter, kama vile yeye ndiye aliyeivumbua (invent). Yaani, hizi ni moja ya mafanikio yake. Halafu kuna wajinga kwenye page yake wanampongeza na kumwomba agomee urais.
Mawaziri wa CCM ni majanga mfano Januari Makamba ameandika makala ya kiingereza kwa ustadi wa hali ya juu kusifia ki mtambo alicho muuzia JK aweze kuhutubia vizuri,
So sad.
Thubutuu!.. Amtie nguvuni ALSHABABU na katibu mkuu wa majangili?Mpeni Nyalandu majina ya majangili. Nilimsikia akisema hatamwonea mtu haya kumtaja na kumchukulia hatua hata kama ni kiongozi!
Ndio huyo mwingereza wa leo itv habari wa mil 100?KINANA,na ushahidi upo!kampuni zake kuhusika TALL na ASHRAF SHIPPING LINE,na wafanyakazi mzungu wamekamatwa na nyara hizo
majina gani zaidi ya aliowataja Mh.Msigwa bungeni?aanze na Kinana kama sio kujishaua tu!Mpeni Nyalandu majina ya majangili. Nilimsikia akisema hatamwonea mtu haya kumtaja na kumchukulia hatua hata kama ni kiongozi!
Msigwa kweli ni mwanasiasa mwenye utashi wa hali ya juu, jioni yaani muda huu amehojiwa na BBC na kuituhumu serikali ya ccm kuwa ndio majangili wa tembo wetu na pia kasema alivyowataja wanaojihusisha na biashara ya tembo bungeni baadhi ya mawaziri walisimama bungeni kuwatetea majangili hao badala yakuomba ushahidi kutoka kwake.
Kuna watu siwaoni humu wakichangia hii hoja lakini wao wanachangia saana hoja ya kashfa kwa Cdm,Slaa,Mbowe lakini hapa hawaonekani,mbona hoja zenye maslahi kwa taifa wanakuwa kimya? Maovu yanayofanywa chini ya viongozi wa ccm wanakuwa na MAKENGEZA eti hawaoni akikosea kidoga wa Cdm wanakesha mtandaoni,why mnakuwa double standard?
Habariyamujini
Scramble
Chilisosi
Chris Lukosi aka mhehe
Mafilili
FaizaFoxy
Hammmmmmy-D
Ritz
Uncle Deo