mbuguni
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 576
- 151
Msigwa kweli ni mwanasiasa mwenye utashi wa hali ya juu, jioni yaani muda huu amehojiwa na BBC na kuituhumu serikali ya CCM kuwa ndio majangili wa tembo wetu na pia kasema alivyowataja wanaojihusisha na biashara ya tembo bungeni baadhi ya mawaziri walisimama bungeni kuwatetea majangili hao badala yakuomba ushahidi kutoka kwake.