Nimependa Kibajaji cha Ulaya

sijakipenda japo kinafanana na vile vya hapa kwetu vile
 
Ustadhi zomba hiyo bajaji nzuri hope ndo yakubebea wajawazito!
 
Last edited by a moderator:
Kina vutia sana kibajaji nahisi akili mafuta sana
 
unazungumzia bajaj ipi maana naziona mbili nyeupe na nyeusi
 
Hii inakuja lini Bongo..I can't wait..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…