Nimepatwa na shida ya mgongo kuvimba

Nimepatwa na shida ya mgongo kuvimba

Uko salama, mgongo ni kiungo nyeti sana, unapitisha fibre optics nyingi sana kwenda kwenye ubongo, ungepata hata disconnection kidogo tu, hungetembea

[emoji849][emoji849][emoji849] duh
 
Kwasababu umesema ulidondokea mgongo, apply hiyo gel mgongo mzima kama vile unavyopaka mafuta. Mtumie mtu kukupaka maana wewe mwenyewe hautaweza kuipaka mgongo mzima😊
 
Kwasababu umesema ulidondokea mgongo, apply hiyo gel mgongo mzima kama vile unavyopaka mafuta. Mtumie mtu kukupaka maana wewe mwenyewe hautaweza kuipaka mgongo mzima[emoji4]

Dah sawa nishapaka
 
Kwahiyo nifanyeje?
Ufike kituo cha afya kwa uchunguzi zaidi. Kwa kadri nilivyoeleza hapo:

Mtoa huduma atafanya tathmini kama kulingana na mwenendo wako akilinganisha na aliyoyaona hapo awali, unahitaji kupata dawa tofauti au kupata kipimo zaidi baada ya kuku-review na kuona uwepo wa hitaji la kufanya hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom