Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Hellow
Nimepata shida ya mgongo baada ya kuanguka kwenye malumalu niliteleza wakati mvua inanyesha nilikuwa nachota maji sasa bahati mbaya ile napanda ngazi tu nikala mueleka nikajua nakufa kifo cha Kanumba.
Ndio nikajikuta nimeamgukia mgongo jana nikaenda kupiga x-ray nikaambiwa niko vizuri ila ni uvimbe tu sasa nikaambiwa nifanye mazoezi kila siku nikaaza jana nimefanya leo nimeshindwa amka mwili wote una uma
Nitumie dawa gani mzuri au massage itasaidia?