baba mausingizi
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 189
- 120
DuhUmeshalishwa wewe, pole yako.
Sali Muumba wetu akuongoze njia njema ya kufata kati ya hao wawili.
Hlw hapa jukwaani hope mpo poa niingie moja kwa moja katika ishu mtego wangu umeshika chui Kuna mdada mmoja anafanya kazi saloon ya kiume scrub Yaani ni kicheche Sana na namfahamu cz nilikuwa nakaa nae mtaa mmoja zamani, miezi miwili iliyopita nilikutana nae sehemu tunabadilishana namba sijui nn kilitokea nikajikuta natoka nae na nilijua napigaa nasepa ila nikajikuta narudia rudia sasa mchumba angu amerudi mana alisafiri nataka kumuacha yule mchepuko axee najikuta siwezi kashaingia moyoni na anaomba nimuoe amechoka kutumika bila faida na anataka kutulia na mm nabaki njia panda na mchumba angu tulipanga mwakani mapema tufunge ndoa. Je yule mchepuko anaweza kuwa mke? Au nioe yule mchumba angu? Mchepuko kanikolea najuta tanga bhana
Mawazo usingizi ulikataKama dini inaruhusu oa wote wawili
Halafu mbona upo macho baba mausingizi
AsanteOa mchumbaako, utajuta ukioa huyo mwingine
Hlw hapa jukwaani hope mpo poa niingie moja kwa moja katika ishu mtego wangu umeshika chui Kuna mdada mmoja anafanya kazi saloon ya kiume scrub Yaani ni kicheche Sana na namfahamu cz nilikuwa nakaa nae mtaa mmoja zamani, miezi miwili iliyopita nilikutana nae sehemu tunabadilishana namba sijui nn kilitokea nikajikuta natoka nae na nilijua napigaa nasepa ila nikajikuta narudia rudia sasa mchumba angu amerudi mana alisafiri nataka kumuacha yule mchepuko axee najikuta siwezi kashaingia moyoni na anaomba nimuoe amechoka kutumika bila faida na anataka kutulia na mm nabaki njia panda na mchumba angu tulipanga mwakani mapema tufunge ndoa. Je yule mchepuko anaweza kuwa mke? Au nioe yule mchumba angu? Mchepuko kanikolea najuta tanga bhana
chunguza tabia kwanza alf ndo uchukue uamuziHlw hapa jukwaani hope mpo poa niingie moja kwa moja katika ishu mtego wangu umeshika chui Kuna mdada mmoja anafanya kazi saloon ya kiume scrub Yaani ni kicheche Sana na namfahamu cz nilikuwa nakaa nae mtaa mmoja zamani, miezi miwili iliyopita nilikutana nae sehemu tunabadilishana namba sijui nn kilitokea nikajikuta natoka nae na nilijua napigaa nasepa ila nikajikuta narudia rudia sasa mchumba angu amerudi mana alisafiri nataka kumuacha yule mchepuko axee najikuta siwezi kashaingia moyoni na anaomba nimuoe amechoka kutumika bila faida na anataka kutulia na mm nabaki njia panda na mchumba angu tulipanga mwakani mapema tufunge ndoa. Je yule mchepuko anaweza kuwa mke? Au nioe yule mchumba angu? Mchepuko kanikolea najuta tanga bhana
Tatizo mtu akijua unamchunguza anajihami makucha yote anafichachunguza tabia kwanza alf ndo uchukue uamuzi
Acha kuleta visingizio vya ajabu hapa. Kikubwa wewe sio mwaminifu na sio mambo ya OOO... tanga imeshuka imepandaHlw hapa jukwaani hope mpo poa niingie moja kwa moja katika ishu mtego wangu umeshika chui Kuna mdada mmoja anafanya kazi saloon ya kiume scrub Yaani ni kicheche Sana na namfahamu cz nilikuwa nakaa nae mtaa mmoja zamani, miezi miwili iliyopita nilikutana nae sehemu tunabadilishana namba sijui nn kilitokea nikajikuta natoka nae na nilijua napigaa nasepa ila nikajikuta narudia rudia sasa mchumba angu amerudi mana alisafiri nataka kumuacha yule mchepuko axee najikuta siwezi kashaingia moyoni na anaomba nimuoe amechoka kutumika bila faida na anataka kutulia na mm nabaki njia panda na mchumba angu tulipanga mwakani mapema tufunge ndoa. Je yule mchepuko anaweza kuwa mke? Au nioe yule mchumba angu? Mchepuko kanikolea najuta tanga bhana
Kila kitu tayari nduguushapima ngengwe au unafurahia scrubbing za chumbani tu?
Karibu tanga utakuja kutoa ushuhuda hapaAcha kuleta visingizio vya ajabu hapa. Kikubwa wewe sio mwaminifu na sio mambo ya OOO... tanga imeshuka imepanda
Kigrethaaa kinanipa tabu mzee
Ahaaa ahaaa hakuna mwanaume kahabaHamna cha mchumba wala nn nawe ni kahaba wa kiume