Nimepata wangu kimwana

Hongera gani ina question mark? Hapo naona dalili za kumuonea wivu Bujibuji wa watu.

best umesoma kweli english cozi wapi wewe!?!? hiyo ni kweshen mark au exclameshen mark?!?!?
wivu ntakuonea wewe tu utakaponitambulisha manake asa far as i know u r single, desperate and miserable!
 
best umesoma kweli english cozi wapi wewe!?!? hiyo ni kweshen mark au exclameshen mark?!?!?
wivu ntakuonea wewe tu utakaponitambulisha manake asa far as i know u r single, desperate and miserable!

Si unajua nimesomea kwa shangazi hivyo usiwaze.

Mzima lakini shemeji? sosoliso hajambo? Watoto je? Maisha yanaendaje?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom