Ndugu zanguni ni mara ya pili naingia kwenye huu uzi walau nione kama naweza pata tiba ambayo inaweza kunisaidia. Ni mara ya pili napatwa na ugonjwa huu mara ya kwanza docta hakunielezea ni ugonjwa gani bali alinipa dawa tu.
Baada ya miez mitano yaani sasa umejirudia tena ndipo docta wa hospitali nyingine niliyokwenda akaniambia ni Bawasiri. Halikuwa neno geni sana kwangu kwa kuwa nishawahi kulisikia japo sikuwa najua bawasiri inafananaje. Kuna dawa alinipa docta ambayo nilikuwa napachika sehemu ya haja kubwa kwa sasa ni kama nina nafuu.
Huu ugonjwa kwakweli umenitisha sana maana unavimbisha sehemu ya haja kubwa na napata maumivu makali hasa wakati wa kutembea na wakati wa kwenda haja kubwa.
Kwa mara ya mwisho docta ameniambia km dawa itashindwa inabidi nifanyiwe operation ya kukata. Hapa alinichanganya zaidi akili yangu. Ombi langu kwenu wadau ni dawa gani ya asili yaweza tibu hii kitu maana akili kisaikolojia haipo sawa sasa. Naomba msaada wenu tafadhali