Nimepata uvimbe sehemu ya haja kubwa. Napata maumivu makali nikitembea

Ndugu zanguni ni mara ya pili naingia kwenye huu uzi walau nione kama naweza pata tiba ambayo inaweza kunisaidia. Ni mara ya pili napatwa na ugonjwa huu mara ya kwanza docta hakunielezea ni ugonjwa gani bali alinipa dawa tu.

Baada ya miez mitano yaani sasa umejirudia tena ndipo docta wa hospitali nyingine niliyokwenda akaniambia ni Bawasiri. Halikuwa neno geni sana kwangu kwa kuwa nishawahi kulisikia japo sikuwa najua bawasiri inafananaje. Kuna dawa alinipa docta ambayo nilikuwa napachika sehemu ya haja kubwa kwa sasa ni kama nina nafuu.

Huu ugonjwa kwakweli umenitisha sana maana unavimbisha sehemu ya haja kubwa na napata maumivu makali hasa wakati wa kutembea na wakati wa kwenda haja kubwa.

Kwa mara ya mwisho docta ameniambia km dawa itashindwa inabidi nifanyiwe operation ya kukata. Hapa alinichanganya zaidi akili yangu. Ombi langu kwenu wadau ni dawa gani ya asili yaweza tibu hii kitu maana akili kisaikolojia haipo sawa sasa. Naomba msaada wenu tafadhali
MziziMkavu
 
Wahanga tumieni virutubisho vifuatavyo NOVEL DEPILE CAPS na CONSTRELAX. Kwa maelezo zaidi piga 0620321041 au 0673758230
 
bro hili tatizo dogo sana kwetu kwa uwezo wa mungu.
tucheki 0675299948 tupo msikiti wa mtoroView attachment 1956044View attachment 1956045
IMG20210922144033.jpg
 
mkuu kwa dawa za hospitali hiyo kitu itazidi kukusumbua. mwishowe watasema haiwezekani dawa ni upasuaji. tumia dawa ya kienyeji kama hujapata ni pm hilo tatizo linakwisha kabisa. dawa yenyewe utachanganya na maji vuguvugu ukande.
Ukifanyiwa operation ina probability kubwa ya kurudi tena. Mimi niko na bawasiri for like 2 years now...kuna jamaa ig anajiita @dodoma_herbs mcheki atakusaidia. Nimetumia dawa zake (kupaka na kunywa) hapa sahv naendelea poa sana kinyama kinazidi kupungua na hii ni week ya 2 kuanzia nimetumia dawa na bado naendelea
 
Hizi dawa ndo naendelea kutumia...hii karibia week ya pili na kinyama kinazidi kuishia kabisa nashukuru Mungu.
Namba za jamaa ni 0764516995 au unaweza ukamcheki ig dodoma_herbs yuko Dar na Dodoma
20211024_125957.jpg
 
Mbona Mimi Nina bawasiri Zaidi ya mwaka na Sina Hata mpango wa kuitibu naona haina shida kbs maumivu sio Sana Kama ilivyokuwa inaanza
 
Ukifanyiwa operation ina probability kubwa ya kurudi tena. Mimi niko na bawasiri for like 2 years now...kuna jamaa ig anajiita @dodoma_herbs mcheki atakusaidia. Nimetumia dawa zake (kupaka na kunywa) hapa sahv naendelea poa sana kinyama kinazidi kupungua na hii ni week ya 2 kuanzia nimetumia dawa na bado naendelea
mkuu samahani hio bawasiri yako ilikua ya ndani au nje?!
 
Back
Top Bottom