Nimepata ukweli kuhusu Dar, Mwanza na Arusha

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,604
3,753
Ile Dhana ya watu kubishana huku ndani kwamba Ni Wapi kuna wanaume wa kweli Kati ya mikoa hii.

Wiki iliyopita nilifanya kautafiti kangu nikapata jibu.ilikua hivi Katika kazi yangu ya mizunguko, safari yangu iliishia dar jk nyerere airport.baada ya kuachana na wageni wangu mida ya saa Saba nikasema wacha niende kwa jamaa yangu tabata kimanga nikapige nae lunch maana ninasiku hatujaonana.

Tukaenda bar moja hivi tukakuta watu wakutosha tu na sisi tukaketi na mhudumu Akaja.basi Mimi nikatoa oda ya trupa au mchemsho wa kuku mzima na nusu wa kienyeji.kuna jirani yetu akahamaki mtamaliza? Na baadhi ya watu wakageuka kutuangalia eti kisa tuko wawili na oda tuliotoa Ni kubwa, basi namimi nikamjibu jamaa kwani hapa nikwakwo kana kwamba tunamaliza chakula cha watoto wako!jamaa akanywea gafla.

Basi nikamwambia rafiki yangu ndo maana hawa watu Wa dar wanavikimbia vitoto vya panyaroad sababu ya kutokula au sababu ya viepe.tangu Siku hiyo nimeamini wanaume Wa kweli na wasiojivunga Ni Arusha na mwanza tu.jaribu kuleta ujinga Arusha na mwanza utaitwa marehemu.Ni hayo tu
 
Ile Dhana ya watu kubishana huku ndani kwamba Ni Wapi kuna wanaume wa kweli Kati ya mikoa hii.
Wiki iliyopita nilifanya kautafiti kangu nikapata jibu.ilikua hivi Katika kazi yangu ya mizunguko, safari yangu iliishia dar jk nyerere airport.baada ya kuachana na wageni wangu mida ya saa Saba nikasema wacha niende kwa jamaa yangu tabata kimanga nikapige nae lunch maana ninasiku hatujaonana.
Tukaenda bar moja hivi tukakuta watu wakutosha tu na sisi tukaketi na mhudumu Akaja.basi Mimi nikatoa oda ya trupa au mchemsho wa kuku mzima na nusu wa kienyeji.kuna jirani yetu akahamaki mtamaliza? Na baadhi ya watu wakageuka kutuangalia eti kisa tuko wawili na oda tuliotoa Ni kubwa, basi namimi nikamjibu jamaa kwani hapa nikwakwo kana kwamba tunamaliza chakula cha watoto wako!jamaa akanywea gafla. Basi nikamwambia rafiki yangu ndo maana hawa watu Wa dar wanavikimbia vitoto vya panyaroad sababu ya kutokula au sababu ya viepe.tangu Siku hiyo nimeamini wanaume Wa kweli na wasiojivunga Ni Arusha na mwanza tu.jaribu kuleta ujinga Arusha na mwanza utaitwa marehemu.Ni hayo tu

Kweli wewe hujui unachooandika huku. Ulaji bora wa mtu hupimwa na vyakula anavyoagiza kwenye migahawa au snacks anazoagiza Bar? Proper dieting is served at home
 
Ile Dhana ya watu kubishana huku ndani kwamba Ni Wapi kuna wanaume wa kweli Kati ya mikoa hii.
Wiki iliyopita nilifanya kautafiti kangu nikapata jibu.ilikua hivi Katika kazi yangu ya mizunguko, safari yangu iliishia dar jk nyerere airport.baada ya kuachana na wageni wangu mida ya saa Saba nikasema wacha niende kwa jamaa yangu tabata kimanga nikapige nae lunch maana ninasiku hatujaonana.
Tukaenda bar moja hivi tukakuta watu wakutosha tu na sisi tukaketi na mhudumu Akaja.basi Mimi nikatoa oda ya trupa au mchemsho wa kuku mzima na nusu wa kienyeji.kuna jirani yetu akahamaki mtamaliza? Na baadhi ya watu wakageuka kutuangalia eti kisa tuko wawili na oda tuliotoa Ni kubwa, basi namimi nikamjibu jamaa kwani hapa nikwakwo kana kwamba tunamaliza chakula cha watoto wako!jamaa akanywea gafla. Basi nikamwambia rafiki yangu ndo maana hawa watu Wa dar wanavikimbia vitoto vya panyaroad sababu ya kutokula au sababu ya viepe.tangu Siku hiyo nimeamini wanaume Wa kweli na wasiojivunga Ni Arusha na mwanza tu.jaribu kuleta ujinga Arusha na mwanza utaitwa marehemu.Ni hayo tu
Watu wa Dar ndiyo watu gani? au Wazaramo? Maana watu wengi waliopo Dar wanatoka mikoani ndugu yangu, uanaume siyo kula ugali mkubwa au mchemsho mwingi, afya ya mtu inategemea anakula nini na anafanya nini? wewe ukila ugali mkubwa na nyama ukapiga bia ukalala, na mimi nikala chapati mbili mayai mawili matunda na galss ya maziwa fresh na nikawa nafanya mazoezi tunatofautiana sana.
 
Sasa wao walichokishangaa ni kipi
 
kama unataka mashindano ya kula weka shindano halafu utaona kilo mbili za ugali zinaliwa na dagaa wa mwanza wa 500 hapa dar
 
Back
Top Bottom