fbytel0000
Senior Member
- Nov 25, 2013
- 106
- 74
Habari za majukumu ndugu zangu.
Naomba msaada wa kimawazo, ushauri na hata tiba ya hili linalonitatiza. Ni Kama wiki sasa naona kuna mabadiliko kwenye sehemu ya ngozi ya uume wangu, seheme ya uume inababuka(ni kama mapunye hivi) japo hakuna maumivu wala muwasho wowote.
Nina miezi miwili toka nishiriki ngono zembe(unprotected sex) naomba ushauri wenu wandugu.
Asante.