Msaada wa tiba ya ugonjwa huu kwenye uume

Msaada wa tiba ya ugonjwa huu kwenye uume

Kitumbua-Cha-200

New Member
Joined
Mar 30, 2025
Posts
3
Reaction score
16
Niko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada

1743670632247.png

​
===

Maoni ya mdau
Hiyo ni Genital warts.Ni ugonjwa wa zinaa Kama yalivyo magonjwa mengine.Ni ugonjwa ambao husababishwa na virus aina ya HPV.Na Kama yalivyo magonjwa mengine ya virusi nayo pia ni ngumu kupona,unaweza kufanya kila namna ukahisi kupona kumbe Bado inatembelea kwenye seli na unazidi kuambukiza na hata kizazi chako.
 
Tumeanza tena kuweka vizazi hadharani!..
ila hii jinsia yetu bhana badala mtu aende hospitali anakuja kuweka picha hapa!, moderator msiichekee hii tabia watu wamezidi sasa hata hospitalini kuna private kati ya mgonjwa na daktari iweje hapa mnakubali nyuchi zinawekwa hadharani mbele ya watumiaji lukuki tena wenye umri tofauti tofauti!!.
babu mnatuaibisha nendeni hospitali.
 
Niko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada

Hii inaweza kuwa virusi vya papilloma vya binadamu (HPV). Hata hivyo, hali nyingine, kama vile molluscum contagiosum, sifilis, au maambukizi mengine ya zinaa (STIs), yanaweza kuonyesha dalili zinazofanana.
Kimsingi nenda hospitali tu, achana na mambo ya kununua dawa na kumeza
 
Niko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada

Aisee kitu gani kimekufanya mpaka uuamini huu mtandao unajipost tumia akili Kuna makundi ya whatsap ya madaktar unasaidiwa Bure ebu futa unajidharirisha utu
 
Back
Top Bottom