Nimepata ugonjwa gani huu? Msaada tafadhali

Habari za majukumu ndugu zangu.

Naomba msaada wa kimawazo, ushauri na hata tiba ya hili linalonitatiza. Ni Kama wiki sasa naona kuna mabadiliko kwenye sehemu ya ngozi ya uume wangu, seheme ya uume inababuka(ni kama mapunye hivi) japo hakuna maumivu wala muwasho wowote.

Nina miezi miwili toka nishiriki ngono zembe(unprotected sex) naomba ushauri wenu wandugu.

Asante.
#TeamPicha mnasemaje kuhusu hii issue?

Mkuu pole sana. Nenda hospitali utapata ushauri nasaha na tiba
 
Habari za majukumu ndugu zangu.

Naomba msaada wa kimawazo, ushauri na hata tiba ya hili linalonitatiza. Ni Kama wiki sasa naona kuna mabadiliko kwenye sehemu ya ngozi ya uume wangu, seheme ya uume inababuka(ni kama mapunye hivi) japo hakuna maumivu wala muwasho wowote.

Nina miezi miwili toka nishiriki ngono zembe(unprotected sex) naomba ushauri wenu wandugu.

Asante.
Fanya Hima,,ujisogeze kwenye gereji za binadamu(hospitali),,angalia usije ukapaki!!!
 
Nani kasema joke hiyo, nimeona watu wanatumia hiyo kwa magonjwa ya ngozi wanapona
Sasa twende taratibu, unalifahamu pilipili kichaa? na unafahamu ndimu ikigusa jeraha?

Wewe ndio wale waliokuwa wanatibu utangotango Kwa maji ya betri acid.
 
Nani kasema joke hiyo, nimeona watu wanatumia hiyo kwa magonjwa ya ngozi wanapona

Huyu hana ugonjwa wa ngozi kama ilivyo kwa magonjwa mengine ya ngozi...

Inaonekana ana maambukizi sehemu za siri, muhimu afike hospitali kwa utambuzi wa kinachomsibu...
 
Simu yako haina camera? Si upige tu kwenye kichwa tukuandikie dawa? Mnakeraaa
 
Habari za majukumu ndugu zangu.

Naomba msaada wa kimawazo, ushauri na hata tiba ya hili linalonitatiza. Ni Kama wiki sasa naona kuna mabadiliko kwenye sehemu ya ngozi ya uume wangu, seheme ya uume inababuka(ni kama mapunye hivi) japo hakuna maumivu wala muwasho wowote.

Nina miezi miwili toka nishiriki ngono zembe(unprotected sex) naomba ushauri wenu wandugu.

Asante.
tusaidie picha ya kiongozi mabush dokta tukupe yetu
 
Habari za majukumu ndugu zangu.

Naomba msaada wa kimawazo, ushauri na hata tiba ya hili linalonitatiza. Ni Kama wiki sasa naona kuna mabadiliko kwenye sehemu ya ngozi ya uume wangu, seheme ya uume inababuka(ni kama mapunye hivi) japo hakuna maumivu wala muwasho wowote.

Nina miezi miwili toka nishiriki ngono zembe(unprotected sex) naomba ushauri wenu wandugu.

Asante.
Njoo inbox nikusaidie na yeyote mwenye shida kama Yako na yeyote anayehisi amelogwa aje inbox
 
Back
Top Bottom