Nimepata sababu kwanini waalimu wanazeeka mapema

Nimepata sababu kwanini waalimu wanazeeka mapema

wakusoza

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
628
Reaction score
649
nimepata sababu kwa nini waalim wanazeeka mapema
Follow%20%40be.like.bro.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
My ribs.... Salute kwa Mwanafunzi.
 
Kati ya watu ambao awazeeki mapema ni waalim ila kwako naona umefanya viceversa....jaribu kufatilia waalim waliokufundisha enzi izo
 
kwa hizo comment hapo juu na nikisoma kichwa cha habari sijui hata niseme nini
 
Ukiwa na darasa la wanafunzi 180 ukitunga maswali manne ya essay nadhani unaweza chukua mwaka kusahihisha
 
hapana, walimu hawazeeki mapema Mkuu, ni kwasababu ya vituko kama hivyo.
 
The importance of something important is its importance!! He/she is somehow right!
 
Back
Top Bottom