mama mtarajiwa
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 290
- 449
asantehongera
ni ngumu kunielewaNawacwac na uwezo wako wakung'amua mambo
mimi ndo nilipost akaniemailMlikutana tena kila mmoja amepost atafuta mwenzie?[emoji23][emoji23]
Duh haya hongera,,, usisahau kufuta emails za wengine waliokuwa wanakutakamimi ndo nilipost akaniemail
Umejibu nani hii msgNawacwac na uwezo wako wakung'amua mambo
Godbless you,kilichopangwa na Mungu mwanadamu hawezi kukipangua.nimeshatoa mrejesho kwa admin wanitoe post zangu zote za kutafuta mume nashukuruni kwa ushauri wenu
najua wengi hamtaamini ila jamaa ni tuliachana mwaka juzi tumekutana tena humu humu !labda ni Mipango ya Mungu tuwe pamoja acha tujipe nafasi tunaomba maombi yenu
nimempa pwdDuh haya hongera,,, usisahau kufuta emails za wengine waliokuwa wanakutaka
maisha memanimeshatoa mrejesho kwa admin wanitoe post zangu zote za kutafuta mume nashukuruni kwa ushauri wenu
najua wengi hamtaamini ila jamaa ni tuliachana mwaka juzi tumekutana tena humu humu !labda ni Mipango ya Mungu tuwe pamoja acha tujipe nafasi tunaomba maombi yenu