nimepata mtoto wa kiume

AshaDii duh yaani hayo uliyoyasema ni maneno ya busara ever. Nakushukuru sana kwa kumpa mafunzo mema Mc Tilly Chizenga
Mc Tilly Chizenga hongera sana kwa kuongeza uzao katika dunia hii. Nawaombe sana wewe na mama na mtoto afya njema haswa mtoto na mama kwa wakati huu.
Uwe mfano bora kwa mwanao mlee katika uchaji wa Mungu akue katika malezi bora na wewe ukiwa kioo kwake aone mazuri yako.
Zingatia sana ushauri wa AshaDii na naamini kwa kuwa ni wa pili malezi unayajua au kama unajifunza wasiliana nasi tutakupa tips ulizokosa
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana mzee mzima wa kusherehesha, Mungu amjaalie afya njema huyo mwanao pamoja na mamaye!!
 
Hongera sana Mc Tilly, may Lord bless that cute boy of your to grow to be an important person in the country n the world.

asante dear Kaunga,pekundu panahusika sana hapo!nitapazingatia kila sekunde ya malezi yangu
 
hongera sana mkuu.
kumbe kimya chako kilikuwa na mshindo atii.
nijalie hali ya mama na mtt kwanza
 

asante kaka,nakuheshimu sana kiongozi!nitazingatia yote usemayo,ubarikiwe
 
hongera sana mkuu.
kumbe kimya chako kilikuwa na mshindo atii.
nijalie hali ya mama na mtt kwanza

yah mwalimu wa walimu,ilikuwa kila nikiingia ktk net mama ananitizama kwa jicho la njoo kwangu,basi naacha net nampetipeti!lol!
 
yah mwalimu wa walimu,ilikuwa kila nikiingia ktk net mama ananitizama kwa jicho la njoo kwangu,basi naacha net nampetipeti!lol!

good job.
sasa na kwa kipindi hiki ndo uache kabisa ili zile zamu za kumbembeleza mtoto usiku mshee wote.
usimwache akakesha alone lol!
 
good job.
sasa na kwa kipindi hiki ndo uache kabisa ili zile zamu za kumbembeleza mtoto usiku mshee wote.
usimwache akakesha alone lol!

mwalimu.mafunzo yako ni kama amri kwangu!nitakachofanya nitakuwa natenga kamuda kadogo kupitia hapa kuelimika kidogo na kisha kugonga likes za kutosha kisha huyo nasepa!mpaka mke wangu anipe cheti cha kuwa mume na baba bora!
 

maneno yako yana thamani kubwa mno kwangu!nakosa namna bora ya kukushukuru!ASANTE MNOO
 

ASANTE SANA ASHADII,nathamini sana muda wako uliotumia kuandika mengi yote mazuri kwangu!namna bora ya kukushukuru ni kuyatekeleza uliyoniambia,nami nitafanya hivyo!

no 4,hakika ningelikuwa na tabia hiyo au kuwahi kufanya hivyo japo kwa usiku mmoja maneno hayo yangenichoma sana!namshukuru Mungu sikuwahi kabla ya ndoa,wakati wote wa ndoa na ninaamini itakuwa hivyo mpaka sekunde ya mwisho nitakayopumua hapa duniani!
 

kwa mamlaka niliyojipa mimi mwenyewe,ninakupasisha wewe Tized kuwa mtu mwenye busara na hekima.Alilolipasisha Mc Tilly Chizenga, BUJIBUJI asilipinge!neno hili limekuwa kweli.
 
niwashukuru wote kwa pamoja kwa kunipongeza na kunipa maneno ya busara na hekima!nitayatekeleza yote mazuri niliyoyapata hapa na nitakayoendelea kuyapata hapa
 
nashangazwa na upendo ulioko moyoni hutoka wapi?kwenye vyumba maalum au kwenye chemchem isiyo kwisha?namna nilivyokuwa nawapenda wazazi wangu,ndugu zangu na nilipompata mke wangu nikampenda mpaka nikadhani kamaliza upendo wote uliopo moyoni mwangu,nikapata mtoto wa kwanza,nampenda kuliko maelezo hata yeye mwenyewe ana miaka 3 lakini anajua,na sasa nashangaa nausikia moto wa upendo unanichoma kwa mwanangu mpendwa mpya!dah!upendo ni nini?unatoka wapi?una bonge la reserve enhe?
 
hureeeeeee!!!wow wow!!!!!tik tik tik!!!!mmmh na mi naye nashangilia utafikiri wa kwangu!!!anyway mtoto wa mwenzio ni wako pia hureeeeeeeeeee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…