NIMEPATA MTOTO WA KIUME

SHUKRAN SANA BROTHER...MANENO YAKO NI PONGEZI NA NASAHA TOSHA...
 
hongera, fanya yote usisahau kumfanyia maombi maalumu ya kumkabidhi kwa Mungu, kama huta omba wewe mpeleke ya mtumishi wa Mungu mfanye maombi. Dunia ya sasa kulea mtoto akue katika maadili haiwezekani bila mkono wa Mungu.
Pongezi zimfikie na shemeji pia kwa kuwa mama.
 
Hanikisha mtoto ana nyonyeshwa MAZIWA YA MAMA TU; kwa miezi 6 bila kupewa chochote kingine
 
HUO UTUMBO UKAE MBALI NA MWANANGU UMBALI WA UPEO WA MACHO YAKO...
We ita utumbo tu huku unakaa tandale kwa tumbo, tandika,kigogo au vinguguti ama maeneo ya design hio then utaona jinsi binadamu watavyomfix huyo kiumbe wako ilihali mchanga!
Utashanga anaharisha, kutapika au kulia non-stop ndio utatia akili!
 
Mkuu mwambie mkeo achunge kitocu kisiguse zakar ya mtoto hasa kinapoanguka, kikigusa tu anakuwa jemsi delicious maisha yake yote, wamama wengine huwa kinafungwa na vitambaa 24/7
 
Hongereni kwa kuongeza member wa familia yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…