AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
HongesaaaaaALHAMDULILLAH...ANA SIKU YA PILI SASA... NAOMBENI MNIAMBIE MAMBO MBALIMBALI KUHUSIANA NA CHANGAMOTO ZAO KUANZIA UMRI HUU NA SOLUTIONS ZA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO HIZO...
NA MAMA YAKE AMEFANYIWA OPERATION...
HELP ME ANYONE WITH EXPERIENCE TAFADHALI TO DEAL WITH ALL... SITAKI WAJUAJI WASIO NA MAANA...
NATANGULIZA SHUKRAN SANAA...
Duh mkuu utaua , mtoto hata mwezi hajafika unaongelea mambo ya bakora[emoji1] [emoji1]mtoto akikosea wewe na mkeo mrekebisheni au mpigeni bakora.
Mambo ya kumuita mtoto mpumbavu,kumsimang'a,kujifanya mnamjua sana mara wewe huwezi hiki huwezi kile,sijui wewe mjinga kuliko wenzako.msifanye.
Kama kuna kitu wazazi wana fail ni ku mistreat mtoto kisa kakosea,kama kakosea na kimekuuma unahisi stick zihusike piga stick mwambie kosa,kaa kimya.
Chakula chakula chakula,msimlishe mtoto upuuzi kwa mwavuli eti nampenda mwanangu au kalilia,Hii ni ishu simple lkn kaa na mkeo umwambie kbs.Hamna mapenzi ya kumnunulia mtoto wa mwaka 1 azam energy drink.
Awali ya yote, ulikunywa pepsi siku ya kufunga ndoo?ALHAMDULILLAH...ANA SIKU YA PILI SASA... NAOMBENI MNIAMBIE MAMBO MBALIMBALI KUHUSIANA NA CHANGAMOTO ZAO KUANZIA UMRI HUU NA SOLUTIONS ZA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO HIZO...
NA MAMA YAKE AMEFANYIWA OPERATION...
HELP ME ANYONE WITH EXPERIENCE TAFADHALI TO DEAL WITH ALL... SITAKI WAJUAJI WASIO NA MAANA...
NATANGULIZA SHUKRAN SANAA...
Duh mkuu utaua , mtoto hata mwezi hajafika unaongelea mambo ya bakora[emoji1] [emoji1]
Hongera sana mkuu.
Kikubwa ahudhurie clinic asikilize anashauriwa nini na wataalamu.
Fuata ushauri wa mama zenu pande zote mbili hao ndiyo wanajua zaidi.
Ndiyo mkuu.Vp ww umeshawai kula mshono???
Bro usisahau kumfunga mtoto vile vidude vyeusi mkononi na kiunoni na umpake ile rangi nyeusi kwenye paji la usoALHAMDULILLAH...ANA SIKU YA PILI SASA... NAOMBENI MNIAMBIE MAMBO MBALIMBALI KUHUSIANA NA CHANGAMOTO ZAO KUANZIA UMRI HUU NA SOLUTIONS ZA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO HIZO...
NA MAMA YAKE AMEFANYIWA OPERATION...
HELP ME ANYONE WITH EXPERIENCE TAFADHALI TO DEAL WITH ALL... SITAKI WAJUAJI WASIO NA MAANA...
NATANGULIZA SHUKRAN SANAA...
Hongera sana. Maana umetoa thouts zako ki utu uzima zaidiNdiyo mkuu.
Asante sana mkuuHongera sana. Maana umetoa thouts zako ki utu uzima zaidi
Kipindi hiki ndo mchepuko unakuwa na moto sanaHongereni....
Nakukumbusha tu mkeo kwa sasa anaumwa bado, kimwili na kisaikolojia mpe muda usianze kunyapia nyapia hata mwezi haujaisha jikaze, kuwa nae pamoja.
HahahaaDuh mkuu utaua , mtoto hata mwezi hajafika unaongelea mambo ya bakora[emoji1] [emoji1]