Nimepata mtoto wa kike.

Habari
wana jf nafurahi kuwajulisheni kuwa jana mchana th.20.01.2013 mwenyezi mungu
amenijalia tena mtoto wa kike nimembatiza Ayesiga mama yake yuko salama
na anaendelea vizuri,nawashukuruni sana kwa sala zenu.

zingatia lishe kwa mama na mtoto
 
Hongera Baba Asiyesiga, lakini neno tena linaonesha kuwa wakati unaandika kuna kitu ulikuwa unawaza.

Hahah...yaani kaja mwingine wa kike hapo, weka oda mapema kwa yule aliyetangulia
 
Hongera sana.. Natumaini hali ya mtoto na mamake ni nzuri.
Je,nikuchagulie majina?
 
Hahah...yaani kaja mwingine wa kike hapo, weka oda mapema kwa yule aliyetangulia

Aaah, Mkuu watu8, nitawekaje oda kwa yule aliyetangulia ilhali analingana na wa kwangu, hishma itapungua Mkuu maana itakapofika muda huo by the time wako 20 yrs, mimi nitakuwa 45 yrs, ukiingia kwangu unashindwa kufahamu ni yupi mtoto na ni yupi mother house !!!
 
Hongera mume mwenzangu! Huyo mtoto ni wangu kabisaa! source Madame B

MUNGU amlinde mtoto na mama yake, akupe riziki uweze kuwatunza vema, AMEEEEN!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…