Nimepata msichana mwenye mwanaume mwingine

Nimepata msichana mwenye mwanaume mwingine

Ha ha ha ha ha ha.........!
Shukuru kwa kupata manzi muuuwazi alikueleza ukweli na ukakubaliana nayo.

Be romantic, caring and respect her and 100% you will win her
Anadai amekaa na mshikaji miaka 5 sijui kama itakua rahisi kumng'oa kwa jamaa
 
hapo cha kufanya endelea kupiga huku unatafuta wife material mwingine zen mwambie unataka kuoa lakn yeye ataolewa na huyo fala wake anaempelekeaga kila likizo tofauti na hapo eti ukomaenae utapigiwa sana
Mkuu nimekuelewa sana..Ahsante kwa hili dini nililopata
 
Kwahiyo bwanake akimpigia simu anakwambia shhhhhh nyamaza babe anapiga ....... hahahahahaha!!
Yani mkuu utafikiri huwa unakuwepo gheto..Ila siku hizi anatoka nje kuongea
 
Nakumbuka niliwahi kuwa kwenye uhusiano wa namna hii halafu nikawa nimezama head over heels kwa mwanadada. Sio siri alikuwa mzuri sana na mtamu kwa sijapata ona toka nimebalehe. Inshort tulipendana sana maana wote tulikuwa tunapitia kipindi kigumu na wapenz wetu.

Nikafikia stage nikawa nakomaa ili tuwe pamoja mazima maana nilianza kuboreka jamaa anapompigia simu tupo katikati ya mchezo.Mara anamtaka aende waonane argh!!!
Kilichokuja kutokea manzi akawa mzito sana kufanya maamuzi maana alishawekaga spiritual vows na jamaa yake kuwa wataoana and shit na uhusiano wao ulishafika 7 years by that time. Kila nikimwambia ananiambia nimpe time.

Huku nako mpenzi wangu akawa anataka tu makeup maana alinizingua nikam bullshit. Anililia kila siku yani ananifata hadi nyumbani yani ikawa kero. Nikaanza ingia imani nimsamehe tu ama vipi nikawa niko dillema sasa. Rebound wangu nae hanipi jibu kuwa ameamua tuwaache wapenzi wetu wanaozingua tuwe wote kwa amani na furaha.

Mwishowe nikafanya maamuzi magumu tu...ilikuwa sio mchezo yani!
Mkuu hii Story naona kama inanihusu na mimi pia
 
Una moyo....

Mahaba niue...yaan anakuaga kabisa anaenda kwa mwenzio...ndio kwaaanzaaa unazidisha kumpenda...ha ha haaaa
Mkuu huko kwao na mshkaji huishi hukohuko. sasa anaaga anaenda kwao ila atakutana na mshkaji kwa hiyo nisipige simu mpaka anipigie
 
Kwahiyo we unafurahia bidada wako anamwanaume mwingine!?? Magonjwa yataisha kweli!??
 
Back
Top Bottom